Translate this blog in your favourable language

My pager view

Wednesday, June 16, 2010

jamani msione naweka post chache sijawachka ila nasisitiza woza..

wengi mtashangaa kwanini mambo yamekuwa slow sana duh poleni na daima msikate tamaa mimi naamini mambo yote yataenda kama ilivyopangwa muda si mrefu kama mlivyonichukulia poa pale nlipo kosa nichukulieni na hapa pia au sio bila shaka 2po pa1 wa2 wangu 4WARD EVER BACKWARD NEVER... STEVEN 2GTHR WITH DIVA LOVENESS LOVE..

diva na mambo yake ktk web yake nazikubali kazi zake.

no longer at simple way. inawezekana mi nikawa sio msanii ila kiukweli ningekua msanii labda ningemtungia single namfeel kiukweli may be labda namfil coz kwao tanga kama mimi ila du nashukuru kwa mchango wake kwangu bila shaka siku moja steven na diva watafanya kazi pamoja naomba kwa mungu wangu mimi wale wanaomchukia wapate kilema cha usahaulifu diva kama utaiview post hii hebu waambie kitu hao wanaojifanya kuwa ni madiva na wanakupiga wewe kkwangu uko juu daima...

Tuesday, June 15, 2010

bado tunaendelea na mambo ya world cup

sio kwamba kimya hiki kinaashiria sipo la hasha ni kombe la dunia tu ndo linanifanya niwe bize ila tupo pamoja kama nitakuwa na mapungufu nisameheni bure hii kazi sio ndogo wa2 wangu ila kwa ufupi sema one love kama umenisamehe.... bila shaka umesema au so wangu wa ukweli/...

Sunday, June 13, 2010

siko mbali nanyi ila tatizo world cup ndio probs.

yaani wa2 wangu niko bize na kombe la dunia na nimeamua kuongezea blog nyingine ili kwapa1 2weze kupata mabo yote ya world cup na blog yenyewe ni smruma.blogspot.com. kama vipi ipitie uweze kupata picha,video na mambo mengine mengi yahusuyo kombe la dunia yani dunia nzima ipo sauzi sijui wewe uko wapi..

Tuesday, June 8, 2010

hakika uwanja wetu uliuza vyakutosha [ our stadium is very nice]

tanzania main stadium is very beauty and have possibility of take 60,000 people kiukweli katika mechi ya jana uwanja wetu uliuza vya kutosha na hii inaweza ikaupafulsa ya kuandaa mashindano makubwa ya kimichezo hapa afrika pia inawezekana hta kidunia,, na jana kaka alisema uwanja ni mzuri unamandhari nzuri inayovutia wachezaji kucheza mpira kiburudani na kiushindani.. wadau msiubanie uwanja uwacheni uuze vya kutosha nabilashaka matunda mazuri yanakuja haraka tuwemo. wote watanzania kuutunza na kuusapoti uwanja wetu.....