HAPA MWILI WA MAREHEMU MR. EBBO UKIAGWA KANISANI ARUSHA JANA |
BAADHI YA NDUGU WANCHI WA JIJI LA ARUSHA JANA WAKIWA KATIKA MSURURU MREFU KUELEKEA KATIKA MAZISHI YA MR. EBBO. |
HII NI STUDIO YAKE AMBAYO MARANYINGI WAKATI NIPO TANGA NYUMBANI NILIKUWA NAPENDA SAN KWENDA KWA AJILI YA MAMB MBALIMBALI YA MUZIKI. |
BAADHI YA WATU WAKISUBIRI MAZISHI YA MR. EBBO. |
PUNZIKA KWA AMANI MR. EBBO TULIKUPENDA ILA MUNGU ALIKUPENDA ZAIDI. |
HUYU NI HAYATI MR. EBBO AKIWA KATIKA JENEZA TAYARI KWA MAZISHI YAKE YALIYOFANYIKA JANA MOKANI ARUSHA. |