inawezekana hata wewe unapenda kula au unapenda kua na gari na mwingine anapenda kua na nyumba mwaingine kua na wake wengi so mheshimu kila mtu na mawazo yake..
kuna watu wengine wanapenda kul wengine wanapenda ulevi na kila mtu anaheshimu sna kile ambacho nafsi yake inakifanya hajalishi ni kizur ama kibaya kwa upande wako inawezekana kikawa ni kibaya ila kwake na kwa wengine kikawa ni kizuri ajabu somt anapo amua kuafanya jambo flani jaribu kumuheshimu na usimuone mjinga hebu jaribu kumuelimisha kama kiko nje ya maadili au haki za kidinadamu na pia kinyume na sheria...