wapo watu ndani ya dunia hii wanakutana na mitihani migumu sana HAYATI Luck Dube, Senzo,Bob Marley na leo tumempoteza na huyu ISAAC GREGORY alipitia maisha ya misukosuko na aliweza kusimama imara mpaka alipofikia ila makala kuhusu isaac inakuja isubirie mungu amlae mahali pema peponi amina.