Translate this blog in your favourable language
My pager view
Wednesday, November 17, 2010
unajua thamani ya kutabasamu katika maisha? TABASAMU UPATE FAIDA..
kama ulikua hujui sasa tambua hili kua unapo tabasamu huwa kuna faida nyingi sana katika maisha ya mwanadamu kwa mfano unapo tabasamu kuna sensory katika ubongo zinapunguza matumizi ya kazi zake na hivyo kufanya ubongo urefresh kabisa na hili linasaidia kupunguza stress za kijinga pia tambua kua ukiwa nafuraha wakati wote unaongeza siku za kuishi mimi nakutakia skukuu njema huku ukiwa na malengo ya kutabasamu wakati wote inshaallahh MUNGU AKUJALIE KILA LA KHERI...
HAKUNA SIKU AMBAZO NAZIPENDA KAMA SIKU ZA SIKUKUU MANA KILA MAHALI NI MAAKULI YA KUFA MTU..
WAISLAM ZOTE NAWATAKIA SKU NJEMA YA EID AL HADJI MANA NI HATUA MUHIMU YA DINI YA KIISLAM AMBAYO NISHAWAHI KUWA WAKATI WANYUMA KABLA KWA HIARI YANGU KUAMUA KUWA MKRISTO MSABATO ILA SIO WALE MASALIA WALIOTAKA KWENDA NJE BILA VISA NI MSABATO HALISI WA BIBILIA..
Subscribe to:
Posts (Atom)