Translate this blog in your favourable language

My pager view

Thursday, September 2, 2010

jamani kama nilivyowaambia utalii ni jambo la muhimu sana kama unaweza weka historia nenda katalii [ try to visit kilimanjaro montain and have a fun in tanzania

kwenu ni kwenu tu kuna sehemu nyingi sana ambazo hata ambae sio mtu wa nje anaweza kutembelea because we want to know our natural and our wealth through tourism in tanzania  kilimanjaro is highest montain in africa available in tanzania..welcom and contact me for more info.. stevenmruma@hotmail.com..

jamani tanga ina raha yke hasa pale unapokubalika na marafiki

jamani hapa ni kwa maswahiba wangu huwa nafanya kazi zangu hapa
napenda sana niwaambie wale wote ambao wako karibu na mimi wanipe sapot kama kawaida jamani kwani shavu lao nalikubali sana na natumai hata ambao hawajawahi kua karibu na mimi wanaweza kwa kutembelea blog hii na kama vipi unaweza kunitumia email ama sms 0719507240 kama upo pamoja na mimi.