Translate this blog in your favourable language

My pager view

Wednesday, November 24, 2010

AKINA DADA ZINGATIENI HILI MNAPO KUA NA MAHUSIANO YA KIMAPENZI AU UNAPOKUA NA MUME

mahusiano nia jambo nyrti sana ambalo asilimia kubwa ya watu wanavamia  bila kujua nini maana ya kua na mpenzi au nini maana ya kua na mahusiano  ya kimapenzi hili nimelidhibitisha kwani siku hizi mpaka watoto wa shule za msingi wanaingia katika mahusiano ushahidi kuanaasilimia kubwa sana ya watoto wa shule ya msingi wanaopata ujauzito shule lakini haitoshi kuvamia huku kwa mapenzi kuna sababisha mambo yafuatayo 1.. kushindwa kuelewa ni jinsi gani utayamudu mahusiano yako.
2,.. ninini chakufanya ili mpenzi wako aridhike  .. mfano kuna mavazi maalum ambayo unaweza ukavaa ukiwa na mpenzi wako sio vazi la chumbani wewe unatokea shoping unaweza ukamletea mpenzi kitu alicho kutma kamitego hasa mnapokua wennyewe mfano dafu , maji ya kunywa,nk..

lkini pia unapokua na mpenzi wako unaweza ukavaa mavazi ya mitego hasa mnapokua bich na sehemu maalum za mapunziko ili kumvutia zaidi mpenzi wako na hili linafanya kila siku mtu anakuona bado ni mpya na ankua na hamu na wewe na pia anakua na shauku ya kutaka kujua leo mpenzi wangu atakuja na style gani ambayo itanisisimua kama haitoshi kila siku atapenda kua karibu na wewe/..
lakini kama haitoshi unatakiwa wewe ambaye tayari uko katika ndoa unapo mpokea shemeji yetu kuwe na masham sham kigodo sio mume anakuja ndani wewe ndio kwanza umenuna , uvivu katika mapenzi ni sumu mbaya ambayo watu wengi hawajaitambua na hili hata mimi nasema sipatani na mwanamke mvivu  anayependa kununa kula mara na mwenye nidamu mbovu na mengine mengi yanayo fanana na haya

 makla ya steven mruma
 kwa maelezo masaada
wasiliana na mimi nitakupa msaada kadi nnavyo weza