Translate this blog in your favourable language

My pager view

Monday, September 20, 2010

chelsea waendelea kusogelea ubingwa kwa 100% baada ya kuua 4-1



timu ya chelsea jana kama ilivyo ada iliendeleza wimbi la ushindi kwa kuibuka na ushindi mnono wa mabao 4 kwa 1 dhidi ya blackpool katika ligi kuu ya uingereza pia mashetani wekundu nao waliweza kifunga timu ya liverpool mabao 3 kwa 2 ndani ya old trafod...huku muuaji wa liverpool akiwa ni berbatov aliepiga hat-tric..

rekodi muhimu ya wekundu wa msimbazi imevunjika rasmi....

 kikosi cha simba kikitoka uwanjani
jana hatimaye mnyama alkikubali virungu vya polisi dodoma kwa kukubali kuvunja rekod yake muhimu ya kutofungwa hata mchezo mmoja katika ligi kuu tanzania bara kwa kufungwa goli moja kwa bila na polisi dodoma katika uwanja wake wa nyumbani wa muda ccm kirumba mwanza na hivyo simba kupoteza rekodi yake muhimu sana kwani vyombo mbalimbali vya habari viliandika kua simba inataka kufuata nyayo za arsenal ya kucheza mechi nyingi baila kufungwa ila ndio hivyo bye bye rekodi ya simba....