Translate this blog in your favourable language

My pager view

Friday, October 22, 2010

salama says.............guys nashukuru niko na steve,one blog lkn tunacontrol 2 people so keeep in touch!mambo mapya v2 vipya kila cku,ukiwa ....na salamaaaa and steven ndani ya nyumba!wwwsalama.blogspot.com

napenda san mazingira ya dunia nzimayawe pa sana ndio mana nimeamua kujiunga na kusaidia mazingira dunia irudi kama zamani.



katika siku za nyuma niliwahi kufanya project nyingi za mazingira na hili nlilifanya baada ya kuwaaga kupitia blog hii ilakikubwa ni kwamba hata wewew unaweza ukayarudisha mazingira ya jamii yako yakawa kama zamani na hili linaanzia na mimi ksha na wewe ujiunge nami kwapamoja tusaidie mazingira ili dunia iwe kamaeden inawezekana na ni kazi inayotaka kujitoa kikamilifu .. fanya kazi na saidia mazingira upate tuzo ya roho kutoka kwea mugu alieyaumba kisha binadamu asiye na akilia akayaharibu..
keep your promise to environment.