WATOTO WAKIKE WAKIFANYIWA UKEKETAJI KWA WAKATI MMOJA JAMBO AMBALO HUHATARISHA MAISHA YAO.. |
ni upasuaji mdogo wa kukata na kuondoa govi, yaani ngozi inayofunika kichwa cha uume.
MTOTO ALIEKOSA RAHA NA KUATHIRIKA KISAIKOLOJIA KUTOKANA NA TOHARA |
Inaweza kufanyika katika umri wowote na kwa sababu za kiutamaduni, za kidini au za kiganga. Mara nyingi desturi za kutahiri zinachanganya sababu za kidini na kiutamaduni. Kwa mfano, Waislamu wa Misri huamini ya kwamba wanatahiri watoto wao kama amri ya kidini lakini Wakristo Wakopti wa nchi hiyo hutahiri watoto vilevile. Ukweli ni kwamba tohara inajulikana ilikuwa desturi ya Wamisri tangu kale.
Tohara inafanyika hasa mara baada ya kuzaliwa kwa mtoto au wakati wa kubalehe.
HIZI NI KAMPENI ZA UKEKETAJI AMBAO UNAPEWA KIPAUMBELE NA JAMII NYINGI SAHA ZA VIJIJINI |
Utekelezaji wa kitendo hicho unatofautiana kulingana na sababu kama vile historia ya kikabila ya mwathirika na mahali jumuiya yake inapatikana. Wasichana wa umri wa chini ya mwaka mmoja wanafanyiwa tohara na inatumika zaidi kwa wasichana wa hadi umri wa miaka 15.
Ikiwa inafanyika katika kile ambacho mashirika ya haki za binadamu inaita ‘’mazingira ya kutisha, mara nyingi inawahusisha wasichana waliotiwa hofu wakati waendeshaji wa tohara wa jadi wanatumia vitu vyenye ncha kali kama vile visu, viwembe au glasi zilizovunjika kufanyia tohara.
Kumekuwa na ushahidi kuwa madaktari na wafanyakazi wa hospitali wanashiriki katika baadhi ya matukio.
Kuna aina nne ya tohara kama ilivyogawanywa na WHO. Waris Dirie, mwanamitindo wa zamani wa Somalia ambaye pia ni mwathirika wa FGM na ambaye anaendesha shirika lake la kufanya kampeni dhidi ya FGM lenye makao yake Vienna, Austria, alisema kuwa pamoja na kwamba sheria zimepitishwa barani Ulaya kujaribu na kukomesha FGM mila hiyo inaenea kwa siri katika jumuiya.
Waris Dirie, mwanamitindo wa zamani wa Somalia ambaye pia ni mwathirika wa FGM na ambaye anaendesha shirika lake la kufanya kampeni dhidi ya FGM lenye makao yake Vienna, Austria, alisema kuwa pamoja na kwamba sheria zimepitishwa barani Ulaya kujaribu na kukomesha FGM mila hiyo inaenea kwa siri katika jumuiya.
HAYA NI MADHARA YA UKEKETAJI
1.INATEGEMEA SANA NA AINA YA UKEKETAJI ILA KIKAWAIDA KABISA MWANAMKE HAWEZI KUSIKIA RAHA WAKATI WA KUJAMIIANA
2. KAMA HAITOSHI TOHARA HIYO HAIFANYI KITAALAM NA INAWEZA KUSABABISHA DAMU NYINGI KUVUJA NA KUHATARISHA MAISHA YA MSICHANA
3. NI RAHISI SANA KUPATA MAGONJWA YA ZINAA KAMA UKIMWI NK, KWASABABU VIFAA VINATUMIKA KWA MTU ZAIDI YA MMOJA NA KWA WAKATI MMOJA AMA MDA MFUPI
4.INASABABISHA MATATIZO YA KISAIKOLOJIA MTOTO WA KIKE NA HII INAMPUNGUZIA FURSA YA KUFANYA VIZURI KATIKA MASOMO YA KE NK...
VIFAA VYA TOHARA HIYO HARAMU |
SAY STEVEN ...
TCHAO.. BAADHI YA PICHA ZIKO KIDOGO NJE YA MAADILI YA KITANZNIA NA KIAFRIKA KWA UJIMLA ILA TUVUMILIE ILI TUSOME...