Translate this blog in your favourable language

Wednesday, July 4, 2012

WACHUNGAJI WENGI TANZANIA NI FREEMASONS


         Hizi story zimekuwa ya kushtua sana kwangu japo mambo kama haya nlitegemea sana kuyaskia leo katika pitapita za mitandaoni nikaliona hii Habari ya wachungaji mafreemason, kwakweli inashtua sana na sasa wakristo na wafuasi wa madhehebu yote inabidi kuwa makini sana na hii hali tusije tukajikuta tunajutia maisha yetu baadae,, Biblia imeandika kuwa Watatokea manabii wa uongo na wengi watakuja kwa jina langu, soma Waraka wa kwanza wa yohana 4:1, pia Mathayo 7:15-23 na pia Thesalonike 5:20-21... sasa hawa wengi ni wa taasisi ya Freemason na hawatendi kwa nguvu za Mungu alie hai wengi wanatumia nguvu za Giza nk..
       Ndugu usikurupuke kukuta mtu anabwabwaja dini barabarani kwa mbwembwe kali akaponya lakini unahitaji sana kuhoji imani yake na haya yanawakuta sana waumini wa makanisa ya Kiroho,, angalia wengi wa washiriki waliingia kanisa hilo kwakua tu kuna maombezi na kuna miujiza bila kutafakari hawa wachungaji wanafanya haya kwa shauri ya nani na kwa nguvu gani lakini na wanakurupuka watu wanadanganyika wanajazana katika makanisa bila kuchunguza na mara baada siku mbili tatu mara mchungaji kafumaniwa na muumini gesti, mara kampa mimba mke wa mtu nk, hii inatokana na watu hawa kutumia vipaji vyao vya kuhubiri kutafuta pesa kwa Sadaka za waumini nk.. angalia saana mijiza mingi inayo tendeka ni feki na hii inawapotosha wengi sana,,     wito wangu,,,     
    WENGI WA WATU SASA HAWAPENDI KUSOMA MAANDIKO MATAKATIFU NDIO MAANA WANADANGANYIKA KWA URAHISI, JAMANI TUSOMENI MAANDIKO MATAKATIFU TUJIFUNZE KWA KINA NA KUOMBA NA KISHA MUNGU MWENYEWE ATATUONESHA NJIA YA KWELI, TUSIKURUPUKIE MAKANISA YA HOVYOHOVYO BILA KUJUA NGUVU ZAKE ZINATOKA WAPI NA KWA MAMLAKA YA NANI? TUTAJIKUTA TUNAKUWA WAFUASI WAZURI WA FREEMASON BILA KUJUA NA BADALA YA WOKOVU UKAENDA JEHANAM,       
Pete ya Freemason
     HERI WEWE ULIESIKIA NENO HILI NA KULISOMA SASA JIHADHARI NA MAKANISA YANAYOIBUKA NA WATU KUJIITA MANABII NI WANAFIKI NA WATUMIA NGUVU ZA SHETANI.. HASA WALA SADAKA TUU NA KUJIJENGA KIUCHUMI HUKU WEWE MUUMINI UKIENDELEA KUDANGANYIKA NA KUFA MASKINI KWA JASHO LAKO LA HALALI,, ZAIDI SANA SOMA BIBLIA NA KAMA UNGEPENDA KUJIFUNZA NA MIMI MACHACHE NILONAYO JUU YA HAYA WASILIANA NAMI 0753226538 ANGALAU NAWEZA KUKUSHAURI CHA KUFANYA CHA ZIADA UPONE KATIKA HILI,,,..
     NDUGU MSOMAJI KATIKA MTANDAO HUU NILIWAHI KUANDIKA HABARI INAYO HUSU MTANDAO WA FREEMASON PATA MUDA SOMA NA CHUNGUZA VIZURI KISHA SOMA NA MAANDIKO MATAKATIFU HUKU UKITANGULIZA JINA LA YESU KRISTO MNAZARETI ALIE HAI...     

 Edited By Steven Mruma..

Post a Comment

Google+ Badge