Translate this blog in your favourable language

My pager view

Tuesday, August 24, 2010

unapozungumzia ppf tower au bot ya tanga unazungumzia jengo hili

hili hapa nilpo mimi ni jengo la library ya mkoa wa tanga linaonekana kwa nyuma
 hapa ni jengo lililopo karibu na ofisi za uhamiaji kama unavyoliona kwa chini
 na hili hapa ndio bot yenyewe ta tanga ni jengo la bandari
ni jengo la bandari tanga ndio jengo kubwa na la kupendeza ndani ya jiji la tanga ambapo ndani yake kuna maofisi mbalimbail na pia kituo cha redio mwambao fm... lakina pia kuna majengo mengi mazuri sana na hili pia ni moja wapo lipo maeneo ya uhamiaji karibu na librali ya mkoa amalo jengo hilo nalo ni la kihistoria lilifunguliwa na donard cameroon enzi za ukoloni'''

jamani upendo ni kitu cha bure kabisa ila huyu na wengineo wananipenda pia

upendo haujivungi hata siku moja kama mtu anakujali na anakupenda sio siri ni lazima utauona upendo huo ninao marafika wengi sana pia kupitia facebook ila huy ni zaidi ya ndugu ni swahiba wangu ambaye nipo naye muda mrefu anaitwa bakari kama vipi mcheki kwenye facebook yake ya bakarimaulid@yahoo.com......