steve used to say...kwenye mamilioni ya watu kila mtu anakile ambacho anakipenda hasa katika masuala ya kisiasa na ndio mana nasena katika uchaguzi mkuu wa rais wabunge na madiwani kila mtu jibu analo kichani mwake kama ulihongwa kumbuka kura ni siri yako chagua umpendae na masuala ya kama alikupa vijisent vyake weka kapuni na chagua mana ile ni siri yako mimi sina chama chama changu baba na mama walionolea mpaka hapa nilipo ila mimi pia jibu nnlo kichwani mwangu 31/10/2010.......