Translate this blog in your favourable language

My pager view

Wednesday, August 18, 2010

jiji la tanga limeingia kwenye mchakato wa usafi

usafi ambao umefilisi walio wengi hasa watu walio na kipato cha chini akina mama wamevunjiwa magenge yao na mgambo wa jiji vijana ambao ni nguvu kazi wamefukuzwa ktk sehem zao za kibiashara na imewatia katika umaskini kwani wengi wao wapo mjini kwakutegemea biashara ambazo tayari wengi wao wamefilisika na kuwepo na hatari ya kuibuka wimbi la wizi kutokana na vijana wengi kukosa ajira

hizi ni baadhi ya picha zikionesha jiji la tanga katika maeneo ya bandari jijini tanga

ikiwa leo ni ramadhani 7 [chungu cha saba] bado tupo kihabari zaidi ya kawaida


 
ninayo mengi kuhusu indian movie ambazo kwasasa wasanii wengi wa movie india nao wanafunga hivyo wasanii hao wanaofunga wampunzika kucheza movie kwakua waona kunaweza kukatokea mambo mengi kama kulazimika kukiuka maadili ya dini wakati wanacheza movie wasanii hao ni akiana shilpa shetty , sunil shety. salman kahn na wengineo wengi ambao ni waislam