utaratibu wa kufanya mazoezi mara nyingi watu hawaupi kipaumbele ila ni jambo la muhimu sana kuna faida nyingi sana lakini tumekua tukipuuza kwa maelezo mengi na faida ya mazoezi wasiliana na mimi na nitakwambia unawezaje kuanza mazoezi hata kama huana mood ya kufanya hivyo..
Translate this blog in your favourable language
My pager view
Wednesday, November 10, 2010
hivi tunawapeleka wapi watoto wetu kwa mtindo huu nafikiri malezi yanawashinda wazazi
katika mitandao kuna picha ambazo zinaonekana dhahiri ambazo kwa watoto sio nzuri zina wapeleka mbali wakati ndio kwa nza hata dalili hawajafikia hivi tunawaleaje watoto huko majumbani au unawaachia watoto wafanye kila wanachodhani ni kizuri hata kama ni kibaya haya ona picha hii kisha niambie je malezi ya mtoto huyu na wako pia ni kama hivi?tubadilike ili tuwe saawa na tamaduni zetu za kiafrika..
Subscribe to:
Posts (Atom)