Hizi story zimekuwa ya kushtua sana kwangu japo mambo kama haya nlitegemea sana kuyaskia leo katika pitapita za mitandaoni nikaliona hii Habari ya wachungaji mafreemason, kwakweli inashtua sana na sasa wakristo na wafuasi wa madhehebu yote inabidi kuwa makini sana na hii hali tusije tukajikuta tunajutia maisha yetu baadae,, Biblia imeandika kuwa Watatokea manabii wa uongo na wengi watakuja kwa jina langu, soma Waraka wa kwanza wa yohana 4:1, pia Mathayo 7:15-23 na pia Thesalonike 5:20-21... sasa hawa wengi ni wa taasisi ya Freemason na hawatendi kwa nguvu za Mungu alie hai wengi wanatumia nguvu za Giza nk..
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiJfBT90kegvCIBiquHAcvew0z-9slvmBaxld0ZSUftSmfKJUAjYerBbOvtxSGFMtLWcuTJn05A5BiXtntnoMVhxb-EtPzMa9sXo9XPSOWODWhcO7Q2wo3UNOz1ayq_cLtZTxAw5n4KfXYO/s320/masonic.jpg)
WENGI WA WATU SASA HAWAPENDI KUSOMA MAANDIKO MATAKATIFU NDIO MAANA WANADANGANYIKA KWA URAHISI, JAMANI TUSOMENI MAANDIKO MATAKATIFU TUJIFUNZE KWA KINA NA KUOMBA NA KISHA MUNGU MWENYEWE ATATUONESHA NJIA YA KWELI, TUSIKURUPUKIE MAKANISA YA HOVYOHOVYO BILA KUJUA NGUVU ZAKE ZINATOKA WAPI NA KWA MAMLAKA YA NANI? TUTAJIKUTA TUNAKUWA WAFUASI WAZURI WA FREEMASON BILA KUJUA NA BADALA YA WOKOVU UKAENDA JEHANAM,
![]() |
Pete ya Freemason |
NDUGU MSOMAJI KATIKA MTANDAO HUU NILIWAHI KUANDIKA HABARI INAYO HUSU MTANDAO WA FREEMASON PATA MUDA SOMA NA CHUNGUZA VIZURI KISHA SOMA NA MAANDIKO MATAKATIFU HUKU UKITANGULIZA JINA LA YESU KRISTO MNAZARETI ALIE HAI...
Edited By Steven Mruma..