Translate this blog in your favourable language

My pager view

Tuesday, June 22, 2010

miss tnga nao walifunika kiasi chake kifupi ilibamba japo si sana

steve used to say... miss tanga 2010 ilkua bomba sana na ilivutia kiukweli ila ripoti muhimu kuhusu miss tanga iko njiani inakuja wapo waliotoa maoni yao ila cha ajbu wengi walimpenda ila pia wapo waliosema katika kupigania miss tanzania hatafika popote je nini kitatokea endelea kufuatilia blog hii tunakusanya maoni ya wadau mbalix2... wewe pia unaweza kutoa maoni yako ...

you may enjoy this but dont woryy my follower coz tym hi"ntoshi

steve used to say...muda jambo la muhimu sana ndio mana nawashukuru sana kwa kutumia muda wenu kufungua blog hii na kuview vi2 flani flani ila bado nasema sipendi siku ipite au utoke kapa unaweza ukaona tofauti kwa kuangalia pic kutoka blog and webs mbalix2 ndani ya dunia hii......

kuna designer chipukizi anataka kutoka na kiukweli mimi nimemkubali anaitwa .Happyness Kikota.

steve used to say...kila mtu ktk dunia hii anafani yake na kila mtu ana kile ambacho anakipenda hii inadhihirika pale msichana aitwae happ anapojitokeza na kusema anapendasana mambo ya designing na pia amewahi kudesign na alifanya vizuri sana ila tatizo ni sponsor ndio anakosa kama wewe unapenda kuwa sponsor wake tuwasiliane thru stivenmruma@yahoo.com.. or 0719507240..