Translate this blog in your favourable language

My pager view

Friday, August 13, 2010

ramadhan njema wadau najua leo chungu cha tatu kwa answali na cha pili kwa wengineo heri yenu mi mwaya sijafunga coz mh mh.. mh



steve used to say...kila maovu yanapozidi mola hutukumbusha turudi kundini na hii ndo maana sasa waislamu wote wapo kidini zaidi kumuomba mola apunguze mizigo mizito zaidi na atupe   baraka....

mh??? ndio kusema mainda yule msanii wa filam amehamia taarabu au ndio nini

duh hili ndio pozi lao liko poa sana hop da truth lipo linakuja
steve used to say...kila unapoona jambo unakua na maswali nalo mainda ameonekana akiwa beneti na mpiga kinanda wa jahazi modern taarab so sijui ndio anahamia huko jahazi au ndio shen wetu au ni kolabo aqu ndio uswahiba yote haya yapo vichwani mwetu kama unadata nione ki email stivenmruma@yahoo.com.... tugonge pamoko.....

hapa T I D Alikua anafanya shooting ya video yake mpya ambapo jide na A Y wmekla shavu

makamuzi yenyewe ndio haya  wako poa ........
steve used to say.. kilicho kizuri kime ng'arishwa kama jide na tid pamoja  ay katika wimbo mpya wa top in dar tid hii ngoma inakuja soon isubirieni na kiukweli ipo makini na hata uandaaji wake ni wa hali ya juu sana keep it up tid

si huyo tu bali pia jide nae anamiliki blog yake na anamengi pia kwake


hapa jde yuko na shem wetu wakielekea likizo majuu
hii ndio nia halisi ila kilicho nifurahisha jide anaipenda sana bongo kwani ameiweka katika kipaumbele katika blog yake hebu mcheki  kama vipi muige ....

nio namcheki mwana fa katka blog yake na kiukweli fa amefanya la maana sana coz blog inamuongezea utambulisho

 pia hata masanja mkandamizaji nae pia anayake kama huyu hapo china nimatokeo ya blog yake
steve used to say..unapofanya kitu lazima utakua na maana nacho hili naona linadhihirika hapa kwani msanii wa tanga ambae kwasasa anafanya kazi zake dsm   mwana FA anamiliki blog yake ambapo humo kuna mengi yanayo mtambulisha  na si yeye tu ila wapo wasanii wengi ambao nao wanamiliki blog ama website kwa ajili ya kufeed mambo yao..