Translate this blog in your favourable language
My pager view
Wednesday, October 20, 2010
kama kuna kitu ambcho siku ya leo nimekipenda japo si sana ni kila mtu kua makini na tarehe ya leo
ukizungumzia leo unazungumzia siku adimu sana kikalenda kwani leo ni tar 20.10.2010 double 20,10 ni siku ambazo ni adimu sana kutokea na kama ikitokea kurudi kwake ni kama haiwezekani tena lbda ije ya namna nyingine kabisa so jifikirie siku hii special umeifanyia kitu gani cha muhimu na kama itatokea siku kama ya leo labda 11/11/2011 japo haifanani sana ila utakuwa na mafanikio gani au kipi cha muhimu katika maisha yako.
Subscribe to:
Posts (Atom)