ipo hatari ya wanaume kuwa chambo sasa be care men |
Usawa wa kijinsia ni lengo la kuleta usawa katika ya jinsia zote, kutokana na imani(belief) kuwa kuna udhalimu mbalimbali wa jinsia moja.
wapigania haki |
Idadi ya Watu ya Umoja wa Mataifa(United Nations Population Fund) ilitangaza usawa wa kijinsia "kwanza kabisa kama haki ya binadamu." Usawa wa kijinsia" ni mojawapo wa malengo ya mradi wa Milenia wa Umoja wa Mataifa , wa kumaliza umaskini ulimwenguni ifikapo mwaka wa 2015; mradi huu unadai, "Kila Lengo lina uhusiano wa moja kwa moja na haki za wanawake na jamii ambazo wanawake hawana haki sawa kama wanaume kamwe haziwezi kufanikisha maendeleo katika namna endelevu.
Hivyo basi, kukuza usawa wa kijinsia kunaonekana kama himizo kwa mafanikio makubwa ya kiuchumi. Kwa mfano, mataifa ya Kiarabu ambayo yanawanyima wanawake usawa wa kijinsia yalionywa katika ripoti iliyofadhiliwa na Umoja wa Mataifa mwaka wa 2008 kwamba kitendo hiki cha kuwanyima mamlaka wanawake ni kipengele muhimu kinachodhalilisha kurudi kwa mataifa haya katika nafasi ya kwanza ya viongozi wa dunia katika biashara, elimu na utamadunI..
utata wa semenya nao unaashiria nini? |
SIKATAI TUSIWE SAWA ILA KIKUBWA NI KUONDOA MANYANYASO KWA MAMA ZETU KUWAPA HAKI NA UPENDO WA DHATI NA KUWAHESHIMU DAIMA NA SIO KUSEMA HAKI SAWA NINA HAKIKA HAITAKUJA KUFIKIA NA HAYO NI MOJA KATI YA MAADHIMIO YA KUMPINGA MUNGU KWANI WAKATI ANAYATOA HAYO HAKUKOSEA KUMPA NAFASI HIYO MWANAUME NA KUMACHA MWANAMKE NA NAFASI ALIONAYO NA KAMA ITAWEZEKANA KWA MWANAUME NAE KUTOKA KATIKA UBAVU WA MWANAMKE BASI HAKI SAWA ITAWEZEKANA NA KAMA MWANAUME NDIE ALIEUMBWA NA MUNGU NA MWANAMKE AKATOKA KATIKA UBAVU HUO NI MBIO ZA MNYONGE AMBAZO HAZITAWASHTUA MATAJIRI AU NDIO MISAFARA YA AKINA MAMBA NA KENGE WAMO
SAMAHANI KAMA KUNA LILIKUA KINYUME NA MATAKW AYAKO YANGU NI HAYO ILA NAWAHESHIMU AKINA MAMA WOTE DUNIA M NA MAMA YANGU NDIE MAMA WA MFANO UKITAKA KUJUA WASILIANA NA MIMI
MWISHO STEVEN