Translate this blog in your favourable language

My pager view

Wednesday, November 3, 2010

makala maalum kuhusu uchaguzi uliopita inakuja na hii inatokana na mimi kuongea na baadhi ya wanasiasa na kuelezea mustakabali wa nchi

 lazima utakubali kuwa huu ni mwaka wa mabadiliko lazima rais ale na watoto wa mitaani na wanaishi ktk mazingira hatarishi na magumu hapo sasa ndio ikulu haitakuwa na radha nzuri sana kama ilivyozoeleka.

hii ndio itatufanya watanzania ambao bado tuna shuku ya kutaka kujua nchi yetu wapi ilpo na wapi inapokwenda na kwa hili lazima tuwe makini sana kwani wewe kama raia wa nchi hii lazima ujue haki zako za msingi kabisa ila kingine ccm chali zaidi ya majimbo 50 na nguli na mawaziri waangushwa kirahisi je ni akina nani? isubirie......

hakika hakuna raha ilioje kama chama tawala maji yanapofika shingoni mana hata wizi utapungua


steve used to say...kila palipo na wengi wa itikadi tofauti lazima watu wawe makini sana na hili ndilo ambalo limejitokeza tanzania mana hakika nina uhakika mwaka huu bungeni patachimbika tu mana vijana wapo  wapenda maendeleo wapo hata kama wizi utakuwepo ila jamani utakua na ka uwoga kidogo sio kama zamani mara epa mara richmond inauma kuona watanzania tunaliwa jasho letu ila sasa ngojeni muone kitimtim cha bungeni mwaka huu mana mpaka sasa kuna majimbo 52 ya upinzania mpaka naandika post hii viva tanzania lazima kiwake mwaka huu mjengoni...