Translate this blog in your favourable language

My pager view

Tuesday, May 25, 2010

HAPPY OMARY AMEONA HILI LA TZ BILA UKIMWI,,

Anasema tanzania bila ukimwi haiwezeka kwani kuna gepu kubwa kati ya masikini na matajiri, wafanyakazi na viongozi. hivyo basi asili100 kubwa ya wa2 wenye hali ya chini, hasa wanawake kutafuta fedha kwanjia ambazo ni chanzo kikuu cha maambukizi ya ukimwi... ridhika na ulicho nacho.. Happy omary,, TANGA.,.

Tilda anazungumziaje kuhusu tanzania bila ukimwi?

anasema tanzania bila ukimwi inawezekana kwasababu watu wakiwa waaminifu wakiwa na mpenzi mmoja au kutumia kondom ipasavyo inawezekana tanzania bila ukimwi ikawezeka kabisa .... ...TILDA HUMPHREY TANGA TANZANIA...