![]() |
Mama wa Kanumba Flora Mwitegoa |
katika makaburi ya kinondoni siku ya jumanne.
![]() |
mama wa kanumba ( Flora Mutegoa) akiwa na huzuni kubwa baada ya kumpoteza mwanaye kipenzi Steven kanumba |
![]() |
baadhi ya watu maarufu na wanchi ndugu jamaa na marafiki walifika sinza kuwafariji waliofikwa na msiba huu mzito |
![]() |
Kila mmoja alikuwa anawaza lake na alikuwa na huzuni kwa namna yake ni wazi msiba huu umemgusa kila mtu hasa kutokana na ughafra wake. |
![]() |
wasanii wengi walikuwepo Natasha ambaye walikuwa wote kaole na katika filamu nyingi walikuwa ni moja ya wahudhuriaji msibani hapo |
![]() |
wananchi wa jiji la Dar er salam walifurika nyumbani kwa Kanumba kwa ajili ya kujua kinacho endelea msibani hapo |
![]() |
Hapa ndipo palipokuwa nyumbani kwa kanumba ambapo mauti yalimkuta akiwa katika nyumba hii |
![]() |
mke wa waziri mkuu akisaini kitabu cha rambirambi na pia kuwafariji wale wote waliofikwa na msiba huu mzito kabisa. |
![]() |
Samweli 6 pia alikuwepo katika msiba huu mzito. na pia walikuwepo mamia ya wakazi na maeneo ya jirani na dar es salam |
xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx

kumsukuma na kuanguka wakati wanagombana.

Alipelekwa hospitali
Muhimbili ambako muda mfupi baadae alifariki dunia, mwili wake bado uko
katika chumba cha kuhifadhia maiti Muhimbili hospital.
pia inaaminika kuwa
chanzo cha kifo chake ni
baada ya kuanguka na kuanza kutoa mapovu hapohapo nyumbani kwake,
alikua akiishi na mdogo wake anaitwa Fetty aliekua chumba kingine ambae
amethibitisha kweli kwamba alimkuta kaka yake akiwa ameanguka.
Polisi wameondoka
nyumbani kwa Kanumba muda mfupi uliopita baada ya kuwachukua waliokua
wanaishi na Kanumba akiwemo mdogo wake Fetty ili kwenda kusaidia
maelezo ya kilichotokea.
haya ni mambo ya mwisho kuyandika kanumba katika face book na twitter hii ni kutoka millard ayo website.na baadhi ya maoni ya watu kupitia facebook
na hii ni post au habari yake ya mwisho katika blog yake ya kanumba the great. ambayo ameiandika jana april 6 2012.
HAPPY 5TH ANNIVERSARY TMH,SAMBAMBA NA UZINDUZI WA DUKA/OFISI & TRAINING CENTER



Pia amecheza filamu nyingi na maigizo mengi katika kundi la kaole sanaa group na hizi ni filamu chache alizo cheza Steven Kanumba.
JOHARI, DAR TO LAGOS, THA BIG DADDY, MOSES, SHE IS MY SISTER, BECAUSE OF YOU, DEVIL KINGDOM, THIS IT IS, MORE THAN PAIN,OFF SIDE,UNCLE JJ,DECEPTION, THE SHOCK, NK.
BAADHI YA WASANII NA WATU MAARUFU WAMIMINIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU WAKIWA NA MAJONZI MAKUBWA. picha na dj choka.
swahiba mkubwa wa Knumba Ray |
baadi ya waigizaji na wasanii wafilamu wakiwa na majonzi |
huzuni imetawal kwa kila mmoja najua hata wee imekugusa. |
baadhi ya wasanii wa maigizo na filamu. |
maoni ya wadau mbalimbali na watu maarufu yazidi kumiminika
haya yalikuwa ya zitto kabwe.....mungu amekuchukua mapema sana. Umetuachia majonzi makubwa mno. Tangulia. Tuwekee nafasi huko. Kungekuwa na rufaa..........
haya yalikuwa ya salama jabir......Rest In Peace Steven...M/Mungu Alikupenda Zaidi. Rest In Peace My Brother
haya yakikuwa ya Happnes Magesse......Rest in Peace my friend...you create jobs ,you believed on our own...and you took them as ur own and give them opportunities to believe on themselves and be who they wanna be and take acting as their career....Where do they go now.....Kanumba!!!? Mungu ailaze roho yako mahali pema peponi...Pigo la taifa jamani..Poleni Kaole poleni Tanzania...!
haya yalikuwa ya roma mkatoliki.......
Dakika...chache
baada ya show yangu ya musoma!! Napata taarifa za huu msiba wa THE
GREAT K.A.N.U.M.B.A....sikuamini mpaka nilipopiga simu kwa mmoja wa mtu
wake wa karibu na kunijibu huku analia kuwa bro hatunaye kweli na ndo'
wao wanatoka muhimbili!!....ni msiba mzito na umewagusa wengi
nikiwemo!! Pole sana kaole...pole game 1st quality...pole kwa mpinzani
wake mkubwa
Ray....pole kwa ben swahiba wake sana....dah pole kubwa kwa pacho
mwamba!familia yake Na bongo movie wote...pamoja na watanzania wote!!
TUTAKUKUMBUKA KWA MENGI KAKA STEVE.....Tumuombee ndugu ye2 apumzike
pema peponi!!na asamehewe dhambi zake!! Oooh kaka umetuacha ukiwa
angali mdogo...inauma sana!!
haya yalikuwa ua irene Uwoya .......... SIKU YA JUMATATU NILIANGALIA KIPINDI CHA MIKASI CHA SALAMA NDANI CHANEL 5 AMBAKO LULUA LIKUWA MGENI KATIKA KIPINDI IKO NAKUMBUKA KUNA SHWALIA ALIULIZWA KAMA ANA MPENZI AKAJIBU YEYE BADO NI MTOTO HANA MPENZI LAKINI MUNGU AONGOPEWI HATA SIKU MOJA NI SIKU TANO TU ZIMEPITA SASA MTOTO HUYU ANAUMBUKA KWA KUHUSISHWA NA KIFO CHA STEVEN KANUMBA AMBAYE JIPU LIMEPASUKA KUWA NDIE ALIKUWA MPENZI WAKE JAPO ILIKUWA SIRI SASA YAMEFICHUKA HAKIKA IMENIUMA SANA NAOMBA DOLA IFUATE MKONDO WAKE HUYU MTOTO AADABISHWE
.
Alale pema peponi Steven Kanumba bwana ametoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe milele na hii ni safari ya wote ametangulia sisi tupo nyuma yako.. amen
imeandikwa na Steven mruma na kupitia vyombo vingine vya habari. na taarifa zaidi zitakujia na matukio mbambali mbali kusu kifo cha kipenzi cha watu wajina wangu Steven Kanumba.
toa maoni yako....