pwani bwanaaa kuna vijimambo sio kitoo yaani wanawake wanashughulika kuliko vijana kama huamini pita barabarani wafanya usafi wote ni akina mama vijana na akina baba wapo kwenye kahawa ama kijiweni ila tatizo hili lipo sana mkoani tanga kama huamini chunguza utayaona..