katika hali ambayo mimi niliitegemea kabisa ni mkusanyiko usio na mfano katika safari nzima ya kumsindikiza Steven Kanumba katika safari yake hii ya mwisho ambyo iliambatana na msongamano mkubwa watu hali iliyohatarisha pia maisha ya watu lakini hakuna madhara hasa ya watu kufa ila wengi walizimia kutokana na hali mbalimbali ikiwemo majonzi na msongamano na kwa mujibu wa kamanda wa polisi wa mooa amesema hakuna aliyeripotiwa kufa kutokana na mkusanyiko huo
na yafuatayo ni matukio katika picha kuhussiana na safari hiyo tangu leaders mpaka makaburuni kinondoni makaburini na baadhi ya picha ni kutoka katika mitandao tofauti.
Hapa wakijiandaa kutumbukiza mwili wa kanumba kaburini katika makaburi ya kinondoni |
Swahiba wa karibu wa Kanumba[ Ray] alukuwa akishuhudia kwa karibu hatima ya rafiki yake kipenzi |
hapa jeneza likiandaliwa kuwekwa kaburini |
baadhi ya watu wakitoa heshima zao za mwisho katika mazishi ya kanumba |
kulingana na idadi kubwa ya watu ulinzi uliimarishwa kila pande kuhakikisha kuwa watu wanakuwa na amani mda wote |
baadhi ya wasanii waliowahi kuogiza na kanumba wakiwasili eneo la tukio kwa ajili ya mazishi |
hiki ndicho chumba ambaco ndani yake amelala kanumba the greate |
watu mashuhuri wakitoa heshima zao za mwisho kama ambavyo inaonekana |
mama wa kanumba akiwapungua mkono walihudhuria katika mazishi ya mwanae kanumba |
jeneza la kanumba likiwasili viwanja vya leaders mapema leo likiwa limebebwa na wasanii wenzake |
Hemedi na Mlela wakiwasili viwanja vya leaders |
hali haikuwa hali leaders wengi walizimia na ililazimu kazi ya ziada kwa wahudumu wa msalaba mwekundu |
mama Salma kikwete akitoa heshima zake za mwisho viwanja vya leaders leo |
kamanda Kova akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa kanumba mapema leo |
jeneza la kanumba likiwasili leviwanja vya leaders mapema asubui leo likiwa limebebwana wsanii wenzake akiwemo Issa musa Cloud na wengine. |
MUNGU AILAZE MAHALI PEMA PEPONI ROHO YA STEVEN KANUMBA
AMEN.