
Translate this blog in your favourable language
My pager view
Monday, October 18, 2010
big broo imekwislakini kipi kipya?

kuna funs mmoja nataka kuungana nae kiblog kama atapenda my be tutakuwa na mambo mengi mapya yanakuja kama kweli itakuwa
ni salama salum ambaye ni best friend wangu kupitia face book nakama wewe pia unapenda fungua blog na kisha nijulishe na tutaungana na kua kama media moja kali sana ambayo itakua inapata habari tanzania nzima na duniani kwa ujumla
mwana mpotevu arejea home je anastahili kusamehewa mana kimya chake cha siku 21 sio mchezo
inawezekana kuna walioumia kutokana na uwepo wangu kuwa mbali na marafiki na wapenzi ila nimerudi na ujio mpya nashukuru wale wote niliokua nao katika mawasiliano kwa kipindia mbacho nilitoka nawashukuru walioniandikia emai au wall yangu ya facebook kupitia stevenmruma@hotmail.com na pia sms kupitia 0719507240 na 0753226538 wote nawapenda na nimerudi baada ya kukaa porini katika project za mazingira kwa wiki tatu.. nisameheni mimi kwaa kimya hiki ila tupo pamoja kuanzia leo.........
Subscribe to:
Posts (Atom)