steve used to say...every thing we do have means and aims so what the aim of big brother africa? japo imekwisha ila kipi watanzania tumejifunza na labda ambach mimi nimekipenda mashemeji ma rich kaja na tatiana kuku mwisho akimleta merl eliza na mnigeria ltoya na basha kwangu ndio kikubwa an ulevi wa kupidukia wa baadhi ya washiriki sijui wewe inakupa kipi kipya hapo...
3 comments:
huyu kaka ako kafulia!
salama anasema kweli kafulia japo kafika mbali kiasi poa steve tuinue vijana wa tanga kumbuka unakubalika...
salama anasema kweli kafulia japo kafika mbali kiasi poa steve tuinue vijana wa tanga kumbuka unakubalika...
Post a Comment