Translate this blog in your favourable language

My pager view

Wednesday, August 31, 2011

would like to thank FOR PARTICIPANTS IN THE FUNERALS OF MY BROTHERS

IMAGES OF MY BROTHERS late LAWRENCE.



BAADHI YA WAOMBOLEZAJI AKIWEMO MAMA YANGU ALIEBEBA MTOTO  AMBYE PIA NI MDOGO WANGU
TAREHE 24 AGOST MWAKA HUU NILIPATA MSIBA KWA KUFIWA  NA KAKA YANGU NA ALIZIKWA TAREHE 25 AGOSTI jioni YA JIONI NA KIFO CHA KAKA YANGU HUYO KILIKUWA NI CHA GHAFLA SANA KIASI KWAMBA NILIHISI KUCHANGANYIKIWA KWANI NILIONGEA NA KAKA KWA SIMU USIKU WA TAREHE 23 MPAKA SAA 4:00 USIKU AKIWA MZIMA NA WALA HAKUSEMA KAMA ANA TATIZO NA tulizungumza MENGI SANA ILA CHA KUSHANGAZA ASUBUHI  iliofatia YAANI TAREHE 24. SAA 10:OO  ALFAJIRI NILIPIGIWA SIMU KUWA KAKA YAKO AMEFARIKI SIKUAMINI NA NILIHISI LABDA NIPO NDOTONI LAKINI WINGI WA SIMU ZILIZOINGIA ZILINIFANYA NIAMINI KUWA KAKA YANGU AMEFARIKI DUNIA.
NILIKUWA ARUSHA NA ILINILAZIMU KURUDI NYUMBANI KWA AJILI YA MAZISHI YA KAKA YANGU KIPENZI AMBAE ALIZALIWA TAREHE 22.12.1982 NA AMBAE AMEACHA WATOTO WAWILI TENA WAKIWA NI WADOGO SANA CHINI YA MIAKA MINNE KWANI KILA MMOJA ANA MAMA YAKE.
rest in peace brother
WAKATI WA UHAI WAKE MAREHEMU ALIKUWA NI NGUZO KUBWA SANAKWAMAISHA YANGU KWANI WAKATI NASOMANILIKUA NAISHI NAE MAISHA YA KIGETO ZAIDI YA MIAKAMITATU NA ALIKUA MHIMILI MKUBWA SAN NA KIFO CHAKE KILIKUWA NI CHA GHAFLA KIASI KWAMBA NILIHISI KUCHANGANYIKIWA KWANI KAKA YANGU HUYO HAKUUGUA HATA KIDOGO NA WALA HAKUSEMA KAKAALIKUWA NA TATIZOKWANI ALIKUWA AKIFANYA KAZI ZAKE AKIWA NA AFYA NZURI KABISA. MPAKASASA KIFOCHA KAKA YANGU HUYO BADO NI KITENDAWILI AMBACHO HAKINA JIBU NATUMEAMUA KAMA FAMILIA TUMWACHIE MUNGU NA TUAMINIKUWA YOTE YANAFANYWA NA MUNGU NA MUNGU ALIMPENDA ZAIDI YETU NDIO MANA ALIAMUA KUNCHUKUA KWA HERI KABISA. NA HIVYO NDIVYO NGUZO YA KAKA YANGU ULIVYOANGUKA TENA IKIWA BADO NAIHITAJI KWANI KATIKA KUZALIWA KATIKA FAMILIA YETU ALIKUWA WAKWANZA NA KISHA KUFUATIWA NA WADADA WAWILI MAGE NA ANNA KISHA NIKAZALIWA MIMINA KUNA WADOGO ZANGU WAKIUME TENA WAWILI MAMBAO BADO NAO NIWADOGO SANA. NA KWANIA NJEMAWAPO WENGI SANA AMBAO WALISHIRIKI KWA NAMNA MOJA AMA NYINGINE KATIKA MAZISHI YA KAKA YANGU NA WALIKUWA NA MIMIKATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU SANA CHA MSIBA WA KAKA YANGU AMBAO BADO UMEENDELEAKUNIATHIRI KISAIKOLOJIA KUTOKANA NA UGHAFLA WAKE SIWEZI KUTAJA MAJINA YAO WOTE ILA KWA UCHACHE KUNA MASHANGO KIBWANA MAJID AMBAE ALIKUWA NA MIMI BEGA KWA BEGA MUSSA QADARI, RASUL SANDALA, SEFU, MWARABU NK.
KITANDA CHA AMANI ALICHO LALA KAKA
WOTE KWA PAMOJA NAZIDIKUTOA SHUKRANI ZANGU ZA DHATIKUTOKAKATIKA FAMILIA YA MRUMA. MUNGU AWABARIKI KWANI SAFARI NI YETU WOTE NA MWENZETU AMETANGULIA SISI TUPO NYUMA YAKE. BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINALAKE LIHIMIDIWE. AMEN