katika siku za nyuma niliwahi kufanya project nyingi za mazingira na hili nlilifanya baada ya kuwaaga kupitia blog hii ilakikubwa ni kwamba hata wewew unaweza ukayarudisha mazingira ya jamii yako yakawa kama zamani na hili linaanzia na mimi ksha na wewe ujiunge nami kwapamoja tusaidie mazingira ili dunia iwe kamaeden inawezekana na ni kazi inayotaka kujitoa kikamilifu .. fanya kazi na saidia mazingira upate tuzo ya roho kutoka kwea mugu alieyaumba kisha binadamu asiye na akilia akayaharibu..
No comments:
Post a Comment