jana hatimaye mnyama alkikubali virungu vya polisi dodoma kwa kukubali kuvunja rekod yake muhimu ya kutofungwa hata mchezo mmoja katika ligi kuu tanzania bara kwa kufungwa goli moja kwa bila na polisi dodoma katika uwanja wake wa nyumbani wa muda ccm kirumba mwanza na hivyo simba kupoteza rekodi yake muhimu sana kwani vyombo mbalimbali vya habari viliandika kua simba inataka kufuata nyayo za arsenal ya kucheza mechi nyingi baila kufungwa ila ndio hivyo bye bye rekodi ya simba....
No comments:
Post a Comment