
tanzania main stadium is very beauty and have possibility of take 60,000 people
kiukweli katika mechi ya jana uwanja wetu uliuza vya kutosha na hii inaweza ikaupafulsa ya kuandaa mashindano makubwa ya kimichezo hapa afrika pia inawezekana hta kidunia,, na jana kaka alisema uwanja ni mzuri unamandhari nzuri inayovutia wachezaji kucheza mpira kiburudani na kiushindani.. wadau msiubanie uwanja uwacheni uuze vya kutosha nabilashaka matunda mazuri yanakuja haraka tuwemo. wote watanzania kuutunza na kuusapoti uwanja wetu.....
No comments:
Post a Comment