Translate this blog in your favourable language

Sunday, June 6, 2010

DUNIA NA MUSTAKABALI WA NIDHAMU KATIKA JAMII ZETU

huwa maranyingi sana nakutana na mambo ya kustaajabisha sana yani unaweza kuta mama mtu mzima na heshima zake amevaa kimini kama siosuruali inayobana nakumuonesha maungo yake yalivyo halafu akipita anataka aheshimiwe wakati yeye hakujiheshimu kwanza yani ni aibu hata kusema na ukichunguza kwa undani utagundua kuwa ni mama wa watoto wakubwa na ameolewa na ana familia kubwa yani inashangaza .. jamani tubadilike akina mama tunawapenda na kuwahehimu nanyi jiheshimuni basi hata kidogo tu jamani mbona mnatufanyia hivyo au mnataka tuwatongoze mkatangaze hatuna heshima..
Post a Comment

Google+ Badge