Translate this blog in your favourable language

My pager view

Wednesday, October 20, 2010

kama kuna kitu ambcho siku ya leo nimekipenda japo si sana ni kila mtu kua makini na tarehe ya leo

ukizungumzia leo unazungumzia siku adimu sana kikalenda kwani  leo ni tar 20.10.2010 double 20,10 ni siku ambazo ni adimu sana kutokea na kama ikitokea kurudi kwake ni kama haiwezekani tena lbda ije ya namna nyingine kabisa so jifikirie siku hii special umeifanyia kitu gani cha muhimu na kama itatokea siku kama ya leo labda 11/11/2011 japo haifanani sana ila utakuwa na mafanikio gani au kipi cha muhimu katika maisha yako.

Monday, October 18, 2010

big broo imekwislakini kipi kipya?

steve used to say...every thing we do have means and aims so what the aim of big brother africa? japo imekwisha ila kipi watanzania tumejifunza na labda ambach mimi nimekipenda mashemeji ma rich kaja na tatiana kuku mwisho akimleta merl eliza na mnigeria  ltoya na basha kwangu ndio kikubwa an ulevi wa kupidukia wa baadhi ya washiriki sijui wewe inakupa kipi kipya hapo...
kaka na shemeji

kuna funs mmoja nataka kuungana nae kiblog kama atapenda my be tutakuwa na mambo mengi mapya yanakuja kama kweli itakuwa

pic of salama salum from kino dsm..
ni salama salum ambaye ni best friend wangu kupitia face book nakama wewe pia unapenda fungua blog na kisha nijulishe na tutaungana na kua kama media moja kali sana ambayo itakua inapata habari tanzania nzima na duniani kwa ujumla

mwana mpotevu arejea home je anastahili kusamehewa mana kimya chake cha siku 21 sio mchezo

inawezekana kuna walioumia kutokana na uwepo wangu kuwa mbali na marafiki na wapenzi ila nimerudi na ujio mpya nashukuru wale wote niliokua nao katika mawasiliano kwa kipindia mbacho nilitoka nawashukuru walioniandikia emai au wall yangu ya facebook kupitia stevenmruma@hotmail.com na pia sms kupitia 0719507240 na 0753226538 wote nawapenda na nimerudi baada ya kukaa porini katika project za mazingira kwa wiki tatu.. nisameheni mimi kwaa kimya hiki ila tupo pamoja kuanzia leo.........

Saturday, September 25, 2010

nitakuwa kimya kidogo kwani naelekea kijijini kwa ajili ya program za mazingira but i will be back soon

steve used to say...THE SILENCE OF OUR FRIENDS HURTS MORE THAN THE NOISES OF OUR ENEMY...inawezekana kimya changu kikaumuza wngi ilam kazi ni moja na lazima ifanyike but my promiss to you is that i will be back soon as ican......... ONE LOVE.......