Translate this blog in your favourable language

My pager view

Tuesday, June 15, 2010

bado tunaendelea na mambo ya world cup

sio kwamba kimya hiki kinaashiria sipo la hasha ni kombe la dunia tu ndo linanifanya niwe bize ila tupo pamoja kama nitakuwa na mapungufu nisameheni bure hii kazi sio ndogo wa2 wangu ila kwa ufupi sema one love kama umenisamehe.... bila shaka umesema au so wangu wa ukweli/...

Sunday, June 13, 2010

siko mbali nanyi ila tatizo world cup ndio probs.

yaani wa2 wangu niko bize na kombe la dunia na nimeamua kuongezea blog nyingine ili kwapa1 2weze kupata mabo yote ya world cup na blog yenyewe ni smruma.blogspot.com. kama vipi ipitie uweze kupata picha,video na mambo mengine mengi yahusuyo kombe la dunia yani dunia nzima ipo sauzi sijui wewe uko wapi..

Tuesday, June 8, 2010

hakika uwanja wetu uliuza vyakutosha [ our stadium is very nice]

tanzania main stadium is very beauty and have possibility of take 60,000 people kiukweli katika mechi ya jana uwanja wetu uliuza vya kutosha na hii inaweza ikaupafulsa ya kuandaa mashindano makubwa ya kimichezo hapa afrika pia inawezekana hta kidunia,, na jana kaka alisema uwanja ni mzuri unamandhari nzuri inayovutia wachezaji kucheza mpira kiburudani na kiushindani.. wadau msiubanie uwanja uwacheni uuze vya kutosha nabilashaka matunda mazuri yanakuja haraka tuwemo. wote watanzania kuutunza na kuusapoti uwanja wetu.....

mambo matatu muhimu yakuyafahamu ktk mechi ya tanzania na brazil

1. kwa mara ya kwanza ndani ya mechi sita bila kufungwa goli lolote jana hatimaye jabir azizi akakata mziziwa fitna akavunja rekodi muhimu ya brazil hapo jana. 2.kinyume na mazoea ya wengi kuwa polisi huwa wanaangalia mashabiki kwa ajili ya usalama jana ilikua nitofauti kwani walijisahau mpaka shabiki akashuka jukwaani na kuingia uwanjani bila kikwazo na njemba hiyo kujizolea umaarufu. 3. kinyume piana matarajio ya wachambuzi wengi kuwa kaka na robinho wangecheza kipind kimoja jana walikipiga dakika zote 90. yapo mengi ila leo chukua hayo...

chile national team still wants to show wonders in sout afrca

timu ya taifa ya chileikotayarikabisakukwaana natimu yoyote katika kombe la dunia hii inatokana na mazoezi mazito ambayo timu hiyo mpka sasa inakua inayafanya wachezaji wakofit wote piawanaari ya kufanya maajabu nakutwaa kombe hilo ambalo iwapo itatwaa itakua ni mara ya kwanza kwao kutwaa kombe hilo ambalo brazil ndio inayo ongoza kutwaa mara nyingi mara 5...na hii ndio picha wakiwa mazoezini mapemawiki hii..