Translate this blog in your favourable language

My pager view

Friday, June 4, 2010

face book katika kuchati inaongeza upeowa kufikiri

yo need to chat? if yes join in my blog for more info..

faida za michezo hasa umiseta

no longer at simple way. but the way we are ... mh,.., mashindanoya umiseta kimkoa yalianza jana na kuendelea na leo ila kuna mapungufu mengi sana yamejitokeza kwa mfano timu ya wilaya ya kilindi ilicheza mecchi tatu ndani ya masaa 6 [sita] kwakweli utaratibu huo mi naona kama ulikua mbovu kupitiliza bebu jaribuni kujipanga mana hata hivyo vipaji haviwezi kutambulika kwa njia hiyo...

Wednesday, June 2, 2010

afrika na mtazamo wa ukimwi

no longer at simple way. you may open website of HIV free generation steve isay it begin with me not you please say and you it begin with me not it begin with you.. we will move forwad... comment from tanzania ,,.toa maoni yako we unaonaje mtazamo huu...

fatuma nasiry anasema kitu..

ansema tanzania bila ukimwi inawezekana kwasababu watu wakiwa na msimamo kwenye ndoa zao na katika mahusiano yao..
wanaoasilika sana na virusi vya ukimwi ni akina dada kwasababu
tamaa na kutoridhika na walivyonavyo.
halafu tabia inachangia mnaamukizi kuwa juu. na pia anaamini umasikini
unachangia kwa asilimia ndogo sana katika maambukizi..
pia anasema kama unaamini kondom inazuia ukimwi kuna umuhimu wa kuitumia hata kwa mtu unaye muamini. ansema yeye binafsi anaiamini kondom kwa asilimia 10 tu.
anshauri watu wawe waaminifu ktk mahusiano....

Monday, May 31, 2010

mashango kibwana ansema akina dada jifunzeni kusema no.

tanzania bila ukimwi haiwezekani kwani nimetongoza wasichana zaid ya 20 lakini kati ya hao hakuna hata mmoja aliesema no wote nikajichukulia kiulaini na kula bata kama kawa,, hayo sioyangu ni ya mashango akielezea yaliyo msibu na kusisitiza tanzania bila ukimwi haiwezekani asilani... labda mungu ashukeaje atunusuru...............