Translate this blog in your favourable language

My pager view

Wednesday, June 2, 2010

fatuma nasiry anasema kitu..

ansema tanzania bila ukimwi inawezekana kwasababu watu wakiwa na msimamo kwenye ndoa zao na katika mahusiano yao..
wanaoasilika sana na virusi vya ukimwi ni akina dada kwasababu
tamaa na kutoridhika na walivyonavyo.
halafu tabia inachangia mnaamukizi kuwa juu. na pia anaamini umasikini
unachangia kwa asilimia ndogo sana katika maambukizi..
pia anasema kama unaamini kondom inazuia ukimwi kuna umuhimu wa kuitumia hata kwa mtu unaye muamini. ansema yeye binafsi anaiamini kondom kwa asilimia 10 tu.
anshauri watu wawe waaminifu ktk mahusiano....

No comments: