Translate this blog in your favourable language

My pager view

Monday, June 7, 2010

maisha ya kutegana ndio hasa yanafanya juhudi za kutokomeza ukimwi zigonge mwamba.

mavazi ya heshima yanaweza kumfanya mtu akawa tofauti kabisa , ila katika zama hizi za utandawazi kuna mavazi, mitandao, na mitoko ya aina mbalimbali ambayo hiyo kwa wale wanao athiliwa na kuona [wanaume] huwa wanashindwa kuzuia hisia zao na mwisho wa siku wanakua wanabadili wanawake kama nguo ila mi naona chanzo chake ni mitego hasa ya kimavazi .. mfano angalia picha hiyo halafu na wewe sema kitu kuhusu hilo,,... am out..

vigezo ambavo kwa mara ya kwanza mtu huwa anaviangalia ktk mahusiano

kwa misha ya kawaida tuliyo yazoea hasa vijana kifup tunapenda sana kutumia vigezo vya uzuri wa sura kwa mfano mtu anapokua na mvuto sana kila mtu atataka kua nae ktk mahusiano lakini kama hana mvuto ni ngumu sana watu wengi wakawa wanampenda na kama ni kutongozwa basi ni wachche sana ambao wanapenda kuangalia vigezo vya tabia na mambo mengine ndio watampenda na pengine kumtongoza.....

Sunday, June 6, 2010

hawa jamaa nawakubali kiukweli mi nasema ni wasanii wa ukweli

no longer at simple way.coz ukitaka kuangalia hawa jamaa walipotoka si ajabu akakwambia alianza muziki tangu akiwa mdogo ila tatizo likaja kwenye kutoka . bila shaka hawa jamaa wewe pia unawakubali sana kama mimi yani imenibidi tu niseme barnaba , diamond, amini, beca. na tht kwa ujumla mpo juu wazee. kula shavu.

we have to get more pics

pics like that and etc...kuna pic za ukweli na zingine za kiaina . but i think my pic is so nice for every one and thats make you enjoy you time of view my blog good and with presuereof knowing more every day.. be mine on blog all friend coz STEVE ALWYS FOR ANY ONE... WE ARE TOGETHER.

we have to move foward because this world is not for group of people or riches etc

i have deside to writte many of my posts in eglish in order the whole world understand what am talking about and this is good way to achive my blogs so join me in follower and we will share together.. be ware my friends..