Translate this blog in your favourable language

My pager view

Wednesday, June 2, 2010

afrika na mtazamo wa ukimwi

no longer at simple way. you may open website of HIV free generation steve isay it begin with me not you please say and you it begin with me not it begin with you.. we will move forwad... comment from tanzania ,,.toa maoni yako we unaonaje mtazamo huu...

fatuma nasiry anasema kitu..

ansema tanzania bila ukimwi inawezekana kwasababu watu wakiwa na msimamo kwenye ndoa zao na katika mahusiano yao..
wanaoasilika sana na virusi vya ukimwi ni akina dada kwasababu
tamaa na kutoridhika na walivyonavyo.
halafu tabia inachangia mnaamukizi kuwa juu. na pia anaamini umasikini
unachangia kwa asilimia ndogo sana katika maambukizi..
pia anasema kama unaamini kondom inazuia ukimwi kuna umuhimu wa kuitumia hata kwa mtu unaye muamini. ansema yeye binafsi anaiamini kondom kwa asilimia 10 tu.
anshauri watu wawe waaminifu ktk mahusiano....

Monday, May 31, 2010

mashango kibwana ansema akina dada jifunzeni kusema no.

tanzania bila ukimwi haiwezekani kwani nimetongoza wasichana zaid ya 20 lakini kati ya hao hakuna hata mmoja aliesema no wote nikajichukulia kiulaini na kula bata kama kawa,, hayo sioyangu ni ya mashango akielezea yaliyo msibu na kusisitiza tanzania bila ukimwi haiwezekani asilani... labda mungu ashukeaje atunusuru...............

nilikuta mtum mmoja akaniambia maneno ya ajbu ajabu hebu soma.........

anasema tanzania bila ukimwi haiwezekani kwakua n***e za watu siku hizianazimiliki shetani na sio mtu husika ndo mana ngono nje nje na akasema watu wa pwani wanapenda sana jig jig yani akili zao muda wote zinawaza kutongoza akasema pita na demu wako mkali maeneo ya vijiwe wote waliokaa hapo watammind huyo demu..... yalisemwa na bakari maulid wa mikanjuni..............

ikiwa leo tunaaga mwezi may kuna mapya yaliozoeleka.

katika pita zangu ndani ya tanga mana ndioskani la ukweli nina viripoti flaniflani ila chaajabu wenye breaking new wanataka kunitakrima nisiwatoe katika blg yangu.. sasa minasema kama vipiipo siku ntawaumbua yani mtu unazini mpaka unafumaniwa bahati nzuri picha zaoninazo ipo siku nitazitoa kiana na kwataarifa yaosipend takrima at all.ila hali yangu mfukoni sio nzuri ndo mana leo naipotezea ila zikijaa mambo hazarani kakuna cha nini wala cha nini...