Mtaalam wa Mifugo akiwapa chanjo vifaranga. |
Kuku wakienyeji ni rahisi sana kuwafuga tofauti na wakisasa. |
Chanjo kama hii mfugaji unaweza kuchanja kwa maelekezo ya wataalam. |
Zipo namna nyingi za uchanjaji wa kuku zingine zinahitaji utaalam |
TARATIBU NA RATIBA ZA
UCHANJAJI
Wakati wa kutayarisha mpango wa kuchanja
kuku kwa ajili ya kinga dhidi ya magonjwa, kuna vipengele vikuu sita Ambavyo
unatakiwa uvifahamu na kuvizingatia. Vipengele hivyo ni kama ifuatavyo:
1. Vifaranga vinavyoanguliwa
kwa pamoja:
Iwapo una kundi zaidi ya moja la vifaranga
wanaoanguliwa,
Weka utaratibu wa chanjo ambao
utapunguza uwezekano wa magonjwa kuenea shambani. Hivyo basi,
Hakikisha vifaranga na kuku wote
wanapata chanjo kwa pamoja.
2. Umri wa kuchanja kuku: