|
HONGERA NASARI |
Katika mambo mambo ambayo yamenipa raha sana ni ushindi wa CHADEMA wilayani Arumeru kwa saasa mimi ni moja kati ya wakazi wa hapa arumeru maeneo ya Tengeru na nafurahia sana kuona harakati za wanaharakati wa kupinga ufisadi zinafanikiwa na hii ni njia ya kuchukua nchi yetu kutoka kwa mafisadi ambao wanaona raha kula jasho la mtanzania hasa mtanzania maskini. Ninaamini kabisa Tanzania Bila mafisadi inawezekana na inabidi tufanye kama ambavyo wana Arumeru wamefanya kwa kuiondoa nguzo nyingine ya kifisadi kama matokeu hayo yalivyotangazwa leo asubui
|
Hakuna ubishi 2015 ni CHADEMA. |
Kwa Mujibu wa Matokeo ya liyotangazwa
asubuhi hii yanaonesha kuwa Mgombea Ubunge wa Joshua
Nassari CHADEMA amepata kura 32,972,
na kumshinda Mgombea mpinzani wake mkuu katika uchaguzi huo, Sioi Sumari
wa Chama cha Mapinduzi (CCM) aliyepata kura 26,757.
Kwamatokeo hayo
inafanya kuwa idadi ya Kura zilizompa ushindi Nassari wa Chadema kuwa
kura 6,215 dhidi ya Sioi Sumari CCM.
Msimamizi wa huo
ambaye pia ni Mkurugenzi wa Wilaya ya Arumeru Bw Gracias Kagenzi
amemtangaza mgombea wa CHADEMA Bw Joshua Nassari kuwa mshindi.
Gagenzi pia ametangaza matokeo ya wagombea
wengine ambao walitoka vyama vya Siasa nchini kuwa kama yafuatavyo:-
AFP – 139, DP
-77, NRA – 35, SAU – 22, UPDB – 18 na TLP – 18.
|
Chukua baraka za kuwaua mafisadi |
Kwa mujibu wa Bw Kagenzi zaidi ya watu 120,000
walijiandikisha na aliojitokeza na kupiga kura walikuwa 60,696 ambapo
kura halali zilikuwa 60,038 na zilizoharibika ni kura 661.
sasa mpaka kieleweke mwaka 2015 na natabiri kuwa nchi itarudi mikononi mwa watanzania wengi aambao wengi wao ni watu wa chini na wanamaisha duni sana. Joshua Nasari bado ni kijana na anauweza kuwepo katika uongozi kwa mda mrefu zaidi na hili linaweza kuleta manufaa katika nchi yetu kama atatumikia wananchi kama alivyo ahidi katika kampeni zake. napendezwa pia na kauli walizotoa baadhi ya viongozi na watu maarufu na wadau wengi hasa katika facebook na twitter na wengi walisema yafuatayo....
Tunawashukuru wana
Arumeru Mashariki kwa imani yao kwetu hasa kwa kijana Joshua Nassari.
Ushindi wao ni ushindi wetu sote. HONGERA SANA JOSHUA. Mungu mbariki
JOSHUA, Mungu ibariki Tanzania. haya yalikuwa ni maneno ya Dr. Slaa.
Haya yalikuwa ya nape nuye na Zito kabwe kupitia face book.
HONGERA CHADEMA NA SASARI KWA KUKARIBIA KUICHUKUA NCHI YETU KATIKA MIKONO SALAMA
MUNGU IBARIKI CHADEMA MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WAHUKUMU MAFISADI KWA FEDHEHA NA KWA KUSHINDWA KATIKA CHAGUZI ZOAO KAMA ILIVYOKUWA ARUMERU.
5 comments:
Great blog you have here but I was curious about if you knew of any forums that cover the same topics discussed in this article?
I'd really love to be a part of group where I can get responses from other experienced people that share the same interest.
If you have any recommendations, please let me know.
Thanks a lot!
my web page; VietnamVisaFees
I do trust all of the ideas you have presented to your post.
They're really convincing and can certainly work.
Nonetheless, the posts are too quick for beginners. Could you please prolong them a little from next time?
Thank you for the post.
Visit my website :: free music downloads [http://twitter.com/Music0Downloads/status/596035206915559424]
Hello outstanding blog! Does running a blog similar to this require a lot of work?
I have virtually no knowledge of computer programming however I had been hoping to start
my own blog soon. Anyway, should you have any ideas or techniques for new blog owners please share.
I know this is off topic nevertheless I simply wanted to ask.
Kudos!
Feel free to visit my blog post - BulahKSmalley
Way cool! Some very valid points! I appreciate you
writing this post and the rest of the site is extremely good.
Here is my weblog - DominickTDiamico
wonderful points altogether, you just received a logo new
reader. What could you recommend about your post that you made a few days in the past?
Any certain?
Here is my web page :: EffieCLychwala
Post a Comment