KAMA MTANZANIA NIMEGUSWA SANA NA MLIPUKO HUO WA MABOMU YA GONGO LA MBOTO NATUMIA FURSA HII KUWAPA POLE WAFIWA WOTE PAMOJA NA MAJERUHI INASIKITISHA SANA KUONA NCHI YETU WENYEWE TENA IKIWA NA AMANI INATOKEA ZAHMA KAMA TUPO DARFUL INAUMA SANA NA HUWA WAKATI MWINGINE NAWEZA KUSEMA NI HUJUMA LAKINI YOTE NI YOTE TUMWACHIE MUNGU .. ILA SERIKALI ILIANGALIE HILI KATIKA PANDE ZOTE NA SIO DAR PEKEE AMBAPO WATU HUISHI KARIBU NA KAMBI ZA JESHI NI KARIBU MAENEO YOTE HA PA TANZANIA MUNGU AZILAZE MAHALI PEMA PEPONI ROHO ZA MAREMU KATIKA JANGA HILO,,,
innalilah waiinair rwajaun,,,AMEN
RIPOTI KUTOKA FACEBOOK KUHUSIANA NA TUKIO HILO...
mabomu ya mbagala walisema hayatalipuka tena lakini yamelipuka gongolamboto na jana nimesikia wanasema hayatalipuka tena.hiv hii ni haki kweli?JAMANI ACHENI KULETA SIASA KWENYE UHAI WA WATU.
KUTOKA KWA SALAMA SALUM
Poleni sana ndugu zangu mliopata ajali ya mabomu mlionusurika tunaomba dua zenu kwawale walioathirika na mabomu
HABIBU MVUNGI
i was thinking vingozi hawajui watu wanatesekaje natamani mtu kama....na viongozi wake wachukuliwe wakakae gongolamboto hivi,same tymkuwe na shida ya maji na umeme.bila msaada wowote na wapewe mshahara kama mwalimu na watoto wao wasome,na mahitaji yao yatimie.bila msaada wa kifendha frm no whr itakuaje???????
MAUREEN ALEXAN
@herieth,yaani wewe sijui ulikuwa wapi?au ulikimbia kujificha mabomu ulidhani yatapenya na kwenye fcbk?make sijakusikia long...umeona yameisha ndo unajitokeza kutoa pole..nyumba hatuwezi kusema zimepona hadi mwezi upite tusipoona nyufa kubwa kubwa ndo tunajua zilipona
JAQUELIN KAHAMBA..
No comments:
Post a Comment