Translate this blog in your favourable language

Monday, January 31, 2011

matokeo ya kidato cha nne na sintofahamu ya matokeo mabovu zaidi kutokea tangu 2000


mwaka huu ni mwaka wa kwanza kwa shule nyingi sana za kata kutoa wahitimu wa kwanza kabisa katika matokeo ya kidato cha nne lakini kwa upande mwingine kufeli vibaya kwa vijana hawa wa kidato cha nne je kuna kilichojificha nyuma ya pazia.?????/ kwakweli penye hisia zisemwe kama kunaukweli ufanyiwe kazi jumla ya shule zote zenye uwezo wa kuchukua wanafunzi wa kidato cha tano hakitoshelezi kabisa idadi ya wahitimu iwapo tu wangefaulu angalau kwa asilimia 50 kwa kiwango cha form five na hao wengine wajue pakwenda   , kwa mtazano wangu iwapo wanafunzi hao wangefanya vizuri wangepata nafasi ya kuingia kidato cha tano//???
na kama hapana je kufeli huku inawezkana ilikua ni mpango ili watakaofaulu watoshe katika shule ziliopo???? hapa inabidi akili zetu ziwe kichwani kisawasawa kwakua siamini kabisa wanafunzi wafikie kiwango kibaya kabisa cha ufaulu hata kwa shule zilizojitosheleza japo sio sana lakini zina afadhali mfa galanos, tanga tech nk... bado ni shule kubwa na zinamindombinu ya kufaulu halafu leo unaniambia wanafunzi hawa wamefeli eti kwakua hawana akili na kama hawana akili sio kwa namba ambyo wanafunzi ha wa wamefeli sipingani na wizara ila ningefurahi iwapo wizara ingetoa tamko kuwa iwapo wanafunzi hao wange fanikiwa kuafaulu vizuri wangesoma shule zipi za kidato cha tano wakati kwa ufahamu wangu shule hizo haziwezi kutosheleza matakw aya wahitimu nusu tu ya waliofanya mitihani hiyo.... bado nafanya reseacha na mambo mengi ambayo yatajitokeza lazima watanzania wafahamu wajue wawapeleke wapi watoto wao
 kzungimkuti hiki kinajambo tu
 steve   ...............


itaendelea itapobidi...
Post a Comment

Google+ Badge