Translate this blog in your favourable language

Tuesday, September 7, 2010

tukio la mr. nice kupigwa wadau wengi watoa maoni yao


huwa najiuliza ni maisha gani ambayo nice anaishi maisha ya kuonewa na watu au life style yake watu hawaipendi mana wangine wanasema ana maringo sana nk. so kama anmaringo jamani si yake unampiga wa nini huo ni ushamba na kama ningekua mahakama halafu nawakamata watu kama hawa nawafunga miaka 10 ili wakitoka wasipate muda wa kufatilia ya huyu jamaa kwakweli tumuache aishi kama navyo taka na sio kama mnavyotaka nyie ila kilicho niuma zaidi ni kumpiga picha akiwa uchi imeniuma sana
Post a Comment

Google+ Badge