Translate this blog in your favourable language

Monday, June 7, 2010

vivazi vinavyotega halafu ndio vinapendwa kama kula

ukiangalia katika mavazi ambayo yanapendwa sana hata nyumbani mtoto akiondoka mama yake ama baba yake anakaa kimya huku akijua kiheshima vazi lile sio zuri ila anampa uhuru wa kijinga mwanae akatege watu halafu akipata mimba , ukimwi nk. ankua wakwanza kulaumu kana kwamba wakati mwanae akiwa ktk mavazi ya ajabuajabu yeye hakuwepo ,, jamani wazazi tubadilike tuwe wakwanza kuwakemea watoto wetu hasa wakike ili angalau wajiheshimu na mitaani pia waheshimiwe,.usione soo sema nae....
Post a Comment

Google+ Badge