Translate this blog in your favourable language
My pager view
Sunday, October 27, 2013
VICKY KAMATA BLOG.: PICHA ZA MAHAFALI YA KIHISTORIA SHULE YA WAMA NAK...
VICKY KAMATA BLOG.: PICHA ZA MAHAFALI YA KIHISTORIA SHULE YA WAMA NAK...: Siku ya jana [jumamosi] ilikuwa ni mahafali ya kwanza na ya kihistoria ya shule ya sekondari ya wama nakayama iliyopo Rufiji, shule hii n...
Thursday, October 24, 2013
HIVI NDIVYO EDO KUMWEMBE ALIVYOLIA NA WATANZANIA KUKOSA UZALENDO, SAMATA, HASHEEM THABIT WAHUSISHWA AMKUMBUKA MAXIMO.
Soma makala kutoka kwa Edo Kumwembe na ona jinsi alivyogusa mambo muhimu tunayokosa watanzania wengi,, inasikitisha.
Samatta, Hasheem na ujinga wa kutojipenda
NA EDO KUMWEMBE
NCHI inaliwa usiku na mchana. Unajua kwanini? Achilia mbali tamaa binafsi zilizojaa katika mioyo yetu, lakini asilimia kubwa ya Watanzania hatuitazami nchi yetu katika jicho la uzalendo.![]() |
| Edo Kumwembe |
Kwetu sisi, mtu akipata kazi TRA tunamwambia ‘Kazi kwako, ushindwe mwenyewe kujenga sasa’. Hii ndio Tanzania kadri niijuavyo. Mtu hana habari kwamba huyo mtu anayemshawishi kujenga ndiye mwenye mamlaka ya kusimamia kodi zetu.
Uzalendo ni neno gumu kwa Mtanzania. Hata katika michezo ni hivyo hivyo. Mwaka 2006, mgeni mmoja alisafiri kilomita 8945 kutoka Rio de Janiero mpaka Dar es salaam kwa ajili ya kuwafundisha Watanzania jinsi ya kuipenda timu yao ya taifa.
Ni Marcio Maximo. Mbrazil huyu alisafiri kutoka kwao kuja kutuelekeza jinsi ya kuvaa jezi za Taifa Stars, jinsi ya kuvaa skafu, jinsi ya kushangilia wachezaji wetu uwanjani. Aibu iliyoje! Mpaka leo Watanzania wanakiri hili hadharani. Kwanini tulishindwa kulitambua hili kabla hajafika?
Wakenya wana matatizo yao. Lakini nje ya matatizo yao, Mkenya akimuona mwenzake, basi anajihisi kama anajitazama mwenyewe. Ni kama ilivyo kwa Waingereza, Wacongo, Wamarekani, Wanigeria na wengineo.
Wanamuziki wa DR Congo kazi yao kubwa ni kusifia watu wao. Nyakati Fulani nilikuwa nasikiliza nyimbo zao na muda mwingi walipenda kumtaja Dikembe Mutombo. Staa wa zamani wa Kikapu wa NBA aliyezaliwa Kinshasa.
Umewahi kumsikia Mwanamuziki wa Tanzania ameimba wimbo na kumtaja Hasheem Thabeet? Katika ubora wake wa sasa hivi, umewahi kufikiria Diamond Platinum anamtaja Hasheem katika wimbo wake walau mmoja?
Lakini pia umewahi kufikiria katika mahojiano yoyote ambayo Hasheem anaweza kufanya na CNN au kituo chochote cha Televisheni duniani anaweza kusema anavutiwa na nyimbo za Diamond au Juma Nature ambaye alikuwa akimpenda sana wakati yupo shuleni Makongo? Hapana.
Sehemu ya ndani ya mioyo yetu haitutumi kujipenda. Inatutuma kuwapenda zaidi wengine. Kama Hasheem Thabeet angekuwa Mkenya, Watanzania tungemfuatilia kwa umakini zaidi.
Na ndio maana kwa kufuta ujinga huu, nilianza kwenda Lubumbashi kwanza kueleza jinsi Mbwana Samatta anavyoishi kifahari nchini humo, kabla ya kwenda Italia kueleza jinsi McDonald Mariga anavyoishi. Tanzania kwanza, Afrika Mashariki na dunia baadae!
Mara kadhaa katika mahojiano yake na vyombo vya habari, Obi Mikel huwa anasema anavutiwa na wanamuziki ndugu wa kundi la P Square. Na wanamuziki hawa wakihojiwa kuhusu wanasoka wanaowapenda huwa wanaanza na Obi Mikel. Wote ni Wanigeria hawa. Kwao, maisha yanaanzia nyumbani!
Carlos Tevez akifunga bao huwa anaonyesha fulana yake ya ndani iliyoandikwa jina la Fuerte Apache. Hiki ndio kitongoji alichotoka pale Buenos Aires, Argentina. Lakini umewahi kufikiria kwamba siku moja Samatta atavua jezi yake na kutuonyesha fulana iliyoandikwa Mbagala, eneo alillokulia?Hawezi kufanya hivi. Hajafundishwa uzalendo. Na wakati mwingine unajiuliza, kwanini umlaumu wakati hata nyumbani kwake pale Lubumbashi sebuleni hakuna bendera ya Tanzania? Watu wanaochota pesa Serikalini kwa madai ya kuitangaza Tanzania wamewahi kuwasiliana naye?
Majuzi kulikuwa na picha imeenea katika mitando mbalimbali ya kijamii ikimuonyesha Robin van Persie na Hasheem Thabeet wakiwa wamepiga picha jijini London. Ni Van Persie mwenyewe ndiye aliyekuwa ameituma picha hiyo katika mitandao.
Cha ajabu, kuna baadhi ya Watanzania walianza kuhisi kwamba picha hiyo ilikuwa imetengenezwa tu kiubunifu na watu wa mitandaoni. Aibu iliyoje! Kuna ajabu gani mwanasoka nyota wa Ligi Kuu ya England akapiga picha na mchezaji kikapu wa NBA. Au kwa sababu mcheza kikapu huyo ni Mtanzania? Kujidharau kulikopitiliza.
Wakati Francis Cheka alipompiga bondia wa Marekani, Phill Williams Agosti mwaka huu, mashabiki wakaanza kukejeli kwamba Cheka alikuwa amempiga Kinyozi tu kutoka Marekani. Ni kweli kwamba Williams anamiliki Saluni nchini Marekani. Lakini si hata Cheka anaokota chupa za maji pale Morogoro? Wote ni mabondia wa kulipwa lakini wana shughuli zao nje ya ulingo wa ngumi.
Thursday, October 17, 2013
MAMBO YA BILIONEA WA JAPAN: WABUNGE WALA CHAKULA KWA KUTUMIA VIJIKO NA VISU VYA DHAHABU NCHINI JAPAN KATIKA MJI WA KAWASAKI MTAA WA KAMATA.
www.vicky-kamata.blogspot.com: HAPA NI KATIKA MJI WA KAWASAKI MTAA HUU UNAITWA KA...: Kama ulikuwa hujui Chukua hii, nchini Japan kuna mtaa unaitwa KAMATA, ni katika mji wa kawasaki ambapo waheshimiwa wabunge wa kamati ya ...
Sunday, September 29, 2013
How to Become A Genius and Think like Genious: Learn How to Innovate
Edited by Steven Mruma, KnowItSome, Bo, LB.StorM, Chris Hadley and 64 others
There are many ways to classify a genius. But
if you look at the historical figures whom most people would consider
geniuses, such as Albert Einstein, Leonardo Da Vinci, and Beethoven, you
can see one thing they all share in common: they were all able to think
in a way different from the mainstream, and thus made connections that no one else did. Based on that pattern, this article will address some of the ways you can think like a genius.
Brain Training Games
Steps
- 1Love learning. Geniuses are passionate about the things they do. If you want to think like a genius, find what you love and dive in headfirst.
- Learn how to self-educate. There are lots of resources available on the internet and through local services like community colleges and libraries that can put all sorts of exciting information at your fingertips.
- Be pro-active and ask questions. There are people you meet every day that know all sorts of things and have all sorts of valuable skills to share. As a genius, be interested in the potential in everything.
- Be over-comprehensive in your studies. Learn everything there is to know.
- As you learn about different disciplines, think about how they connect to one another.
- 2Start ambitious projects and see them through from start to finish. Genius ideas have often occurred in the pursuit of something that many contemporaries thought to be downright crazy. Create opportunities for yourself to discover new things by embarking on journeys no one has embarked on yet.
Embrace change, uncertainty, and doubt. It is on these edges of knowledge that innovation and discovery happen. Don't be afraid to question conventional wisdom; geniuses are the ones who rewrite those conventions.
LEARN: Guide for Writing Project Proposals
This is a summary of how to write good, concise proposals for course projects. The focus of this summary is on programming or implementation projects, but the general ideas can be applied to most proposals. The recommended lengths of sections are given assuming a document length of 2 to 5 pages. Use appropriate scaling for longer proposal documents.
Sample Outline
- Introduction (1 or 2 paragraphs)
- Motivation Sentence
- Summarize the problem (1 or 2 sentences)
- Summarize the solution (1 or 2 sentences)
- Describe format of rest of proposal (sections, etc.)
- Motivation (1 to 3 paragraphs)
- What is the history of the problem?
- Why is this problem interesting?
- When and why does the problem occur?
- Is the problem already solved? What is done now?
- Are there any similar systems or solutions to the one you propose? If so, reference and very briefly explain them.
- Are there are possible improvements to current solutions?
- Project Summary (1 paragraph)
- What in general will this project achieve? (Do not delve into details or timelines.)
- Project Details
Subscribe to:
Posts (Atom)
