Translate this blog in your favourable language

My pager view

Saturday, November 13, 2010

kila anayetamani kuishi maisha ya kifalme lazima akubali kuishi maisha ya utumwa

no sweat no sweet.. kama unataka kula bata lazima ukubali kuumia kidogo na mafanikio hayaji kama ndoto kaa chini ndani ya kila wiki end na jiulize ndani ya wiki iliopita nimefanya nini na je wiki ijayo nitafanya nini hili lifanye kila wikeend na litumie kama dozi kama hakuna chamaana lazima ujihoji kuna tatizo gani  neno langu la mwisho kwako .... NI HERI KUFA UKIJARIBU KULIKO KISHI UKIPOTEZA KILA SIKU.. NI AIBU tambua kama wewe ni jeshi la mtu mmoja hivyo pambana daima utashinda

Friday, November 12, 2010

weekend na style maalum ya kutokea ili uoneshe tofauti na siku za kazi

 ukiwa na upande wako wa pili sawa bora wikiend iwe na nuru kwako...
weekend inaweza kubadili muonekano wako kwani kwa kubadili muonekano wako na kutembelea sehemu mbalimbali inaweza ikakufanya usahau yale yaliyotokea siku za nyuma na sehemu nzuri za kutembelea ni sehem za starehe na sehemu ambazo hazina kelele kama huwa hupendi kelele na pia kukaa na marafiki ama watu wazima ambao unafikirir wanaweza kua na hekima ambayo inaweza ikakubadilisha mawazo na kupata kitu kipya ndani ya maisha yako ya kila siku...




                                                                                                  hata ukiwa hivi pia sawa

Wednesday, November 10, 2010

michele obama mwanamke wa mfano hata kiazoezi na pia ni imara wakati wote


utaratibu wa kufanya mazoezi mara nyingi watu hawaupi kipaumbele ila ni jambo la muhimu sana  kuna faida nyingi sana lakini tumekua tukipuuza kwa maelezo mengi na faida ya mazoezi wasiliana na mimi na nitakwambia unawezaje kuanza mazoezi hata kama huana mood ya kufanya hivyo..

hivi tunawapeleka wapi watoto wetu kwa mtindo huu nafikiri malezi yanawashinda wazazi

katika mitandao kuna picha ambazo zinaonekana dhahiri ambazo kwa watoto sio nzuri zina wapeleka mbali wakati ndio kwa nza hata dalili hawajafikia hivi tunawaleaje watoto huko majumbani au unawaachia watoto wafanye kila wanachodhani ni kizuri hata kama ni kibaya haya ona picha hii kisha niambie je malezi ya mtoto huyu na wako pia ni kama hivi?tubadilike ili tuwe saawa na tamaduni zetu za kiafrika..

Monday, November 8, 2010

majukumu ya .dk. jakaya kikwete yameamza rasmi kwa kazi zaidi nguvuzaidi na ari zaidi

tayari ameshateua mwanasheria mkuu ambaye atasimamia masuala ya kisheria katika ngazi mbalimablia na mwanasheria huyui tayari ameapishwa rasmi na tayari kibarua chake kinaanzan rasmi.. hii ndi kasi zaidi ngoja tuone hali itakuaje ndani ya siku 100 za kukaa tena ikulu