Translate this blog in your favourable language

My pager view

Wednesday, September 1, 2010

utalii ni jambo muhimu san hapa duniani kwani zingine zinatukumbusah zamani [tourism]

sehemu nyingi sana ndani ya tanzania kuna vivutio vingi vya utalii na kama mji wa tanga ambapo naishi mimi kuna sehemu nyingi san za kitalii kama mapango ya amboni ambayo naweza sema ni ya pekee kabisa duniani na yanayopatikana huko ni ya ajabu kama siku ukitembelea tanga jabibu utaona ni jambo zuri na la kifahari fanya utalii wa ndani kama kwenda nje hauwezi ukija tanga nitakupa kampani nzuri sana... tuwasiliane stevenmruma@hotmail .com ...

Monday, August 30, 2010

jamani hii ndio timu ninayoshabikia hapa bongo ulay ni chelsea



kila mtu anatimu yake anayoipenda kama mimi naizimia yanga ya bongom huku ulaya nikila shavu na the blues chelsea napia nipenda sana real madrid na pia intermilan ya iyalia zaidi ya hapo sina club ya mpira ninayoipenda sana na timu za taifa taifa sters ndio chaguo la kwanza ..

police afumwa akitaka rushwa ya ngono na mke wa mtu huko majuu

rushwa ni mchezo ambao upo dunia nzima kuna rushwa za aina nyingi sana mfano rushwa ya ngono nk... polisi mmoja aitwae oscar ravanelor alifumaniwa na mke wa mtu akidai rushwa ya ngono na askari huyo alinaswa na kamera na kupata tukio zima la kudai na kupokea rushwa ya ngono kutoka kwa mke wa mtu ambae alikubali kwa hiari yake ili afutiwe kesi ya kuendesha gari kwa kasi huku mumewe kupigwa na butwaa baada ya kusikia tukio hilo...

Sunday, August 29, 2010

mambo ya wikend full sherehe kwa ambao hawafungi zilikua kama kawa

FLORA AKIUZA SURA

 ANAPOKEA CHETI
 MIMI NA WAJINA WANGU STEVEN
 HAPA NAKULA NILIKUA KOBE
BEKA NA FLORA WANAUZA
wakati napita pita nikabahatika kualikwa katika sherehe moja ya mahafali ya kidato cha nne ambapo palikua pia na swahiba wangu bakari wote tuliunga katika mahafali hayo ambayo mgeni rasmi alikua mgombe wa chama fulani jina bwana MSULWA. HUKU VITUKO VIKIWEPO KAMA KAWAIDA...

Friday, August 27, 2010

jama have breaking news ila ichukulieni poa kwani yamepita

steve used to say...kila mtu ana uamuzi wake binafsi nilikua nipo kimahusiano na msichana aitwa zaynab ila ilikua nipo mbali nae ila tulidumu katika mahusiano kwa miaka mitatu na sasa rasmi jana amenimbia nijue hamsini zangu kwakua tayari anaempenda ambaye bila shaka yupo karibu nae duh sikuhisi vizuri ila one atatmani kuwa karibu na steve ila hataweza tena i believe that coz nilkua naplani nae ya kumuoa kabisa ila ndio hivyo ame miss luck kupata mtu wa kuoa kwasasa ni vigumu jamani ila mimi na zay tena ndio basi natamka rasmi simpendi tena zay labda kama ninavyowapenda wetu wengine kama rafiki nk.. ipo siku nitapata wakua karibu nae na pia naamini ataikumbuka nafasi nilompa na kamwe hatoipata tena ... bye zay my heart is far away to you now if you love me now please go to hell.... let me a live  ..soryy if it may hut you....