Translate this blog in your favourable language
My pager view
Thursday, August 26, 2010
jamani dunia inamambo yake hawa ni bodaboda wa china
steve used to say...kila mtu hupenda kufanya kila analoweza ilimradi mkono uende kinywani hebu waone hawa wapo kwenye baiskeli sijui ndio boda boda za huko na wala hawajali kama kuna hatari inayoweza kutokea duh? !!! ila ni ubunifu na wewe buni chako ussiibe cha mtu ni dhambi..
Tuesday, August 24, 2010
unapozungumzia ppf tower au bot ya tanga unazungumzia jengo hili
hapa ni jengo lililopo karibu na ofisi za uhamiaji kama unavyoliona kwa chini
na hili hapa ndio bot yenyewe ta tanga ni jengo la bandari
ni jengo la bandari tanga ndio jengo kubwa na la kupendeza ndani ya jiji la tanga ambapo ndani yake kuna maofisi mbalimbail na pia kituo cha redio mwambao fm... lakina pia kuna majengo mengi mazuri sana na hili pia ni moja wapo lipo maeneo ya uhamiaji karibu na librali ya mkoa amalo jengo hilo nalo ni la kihistoria lilifunguliwa na donard cameroon enzi za ukoloni'''

jamani upendo ni kitu cha bure kabisa ila huyu na wengineo wananipenda pia
Friday, August 20, 2010
lil wayne asikitikia maisha yake ya jela asema jela ni shimo usilitumbukie
jela kiukweli ni fundisho ndio mana wengi walioenda huko hubadilika ijapokua kuna wale nundaz yani hata umfunge miaka 10 bado akitoka atakua mhalifu hii iko tofauti sana na msanii lil wayne yeye anasema jela imekua ni fundisho la maisha kwake....
kiukeli kwsasa tanga iko safi ila ndio hivyo maskini wamenyongwa ili matajiri wafurahi
jiji la tanga kwasasa liko safi sana ila wapo watu wengi ambao wameumia na wameanguka kiuchumi kutokana na biashara zao kuondolewa ama kuvunjiwa biashra zao nilipita maeneo mengi nikakuta kuko kimya sana na zile mishe za mjini zote zilipungua na hali hii inatishia wimbi kubwa la wizi ama uzururaji kutokana vijana wengi wameharibiwa biahara zao..
Subscribe to:
Posts (Atom)