Translate this blog in your favourable language

My pager view

Tuesday, August 24, 2010

unapozungumzia ppf tower au bot ya tanga unazungumzia jengo hili

hili hapa nilpo mimi ni jengo la library ya mkoa wa tanga linaonekana kwa nyuma
 hapa ni jengo lililopo karibu na ofisi za uhamiaji kama unavyoliona kwa chini
 na hili hapa ndio bot yenyewe ta tanga ni jengo la bandari
ni jengo la bandari tanga ndio jengo kubwa na la kupendeza ndani ya jiji la tanga ambapo ndani yake kuna maofisi mbalimbail na pia kituo cha redio mwambao fm... lakina pia kuna majengo mengi mazuri sana na hili pia ni moja wapo lipo maeneo ya uhamiaji karibu na librali ya mkoa amalo jengo hilo nalo ni la kihistoria lilifunguliwa na donard cameroon enzi za ukoloni'''

jamani upendo ni kitu cha bure kabisa ila huyu na wengineo wananipenda pia

upendo haujivungi hata siku moja kama mtu anakujali na anakupenda sio siri ni lazima utauona upendo huo ninao marafika wengi sana pia kupitia facebook ila huy ni zaidi ya ndugu ni swahiba wangu ambaye nipo naye muda mrefu anaitwa bakari kama vipi mcheki kwenye facebook yake ya bakarimaulid@yahoo.com......

Friday, August 20, 2010

lil wayne asikitikia maisha yake ya jela asema jela ni shimo usilitumbukie

jela kiukweli ni fundisho ndio mana wengi walioenda huko hubadilika ijapokua kuna wale nundaz yani hata umfunge miaka 10 bado akitoka atakua mhalifu hii iko tofauti sana na msanii lil wayne yeye anasema jela imekua ni fundisho la maisha kwake....

kiukeli kwsasa tanga iko safi ila ndio hivyo maskini wamenyongwa ili matajiri wafurahi


jiji la tanga kwasasa liko safi sana ila wapo watu wengi ambao wameumia na wameanguka kiuchumi kutokana na biashara zao kuondolewa ama kuvunjiwa biashra zao nilipita maeneo mengi nikakuta kuko kimya sana na zile mishe za mjini zote zilipungua na hali hii inatishia wimbi kubwa la wizi ama uzururaji kutokana vijana wengi wameharibiwa biahara zao..

Thursday, August 19, 2010

jamani kabla sijaondoka leo naomba nifanye hili kama suprise to someone so special si for you zay

hii itakua ni zawadi ya pekee ambayo nimeamua kumpatia huyu mtu unaweza ukawa na maswali juu ya hili ila naoma ichukulie poa hakuna kilicho haribika kila kitu kipo sawa jamani member ambao hamjaoa kama mimi au uolewa kama zay mtaoa au kuolewa lini????????