Translate this blog in your favourable language

My pager view

Thursday, August 19, 2010

jamani kabla sijaondoka leo naomba nifanye hili kama suprise to someone so special si for you zay

hii itakua ni zawadi ya pekee ambayo nimeamua kumpatia huyu mtu unaweza ukawa na maswali juu ya hili ila naoma ichukulie poa hakuna kilicho haribika kila kitu kipo sawa jamani member ambao hamjaoa kama mimi au uolewa kama zay mtaoa au kuolewa lini????????

nilikua nafuatilia movie za majuu nikapata hili la akina kajor

kaleena kapor

kareena kapor na kajor ambae ametamba katika filam ya kuch kuch hota hai wana mpango wa kuja na movie moja kali baada ya mfungo wa ramadhani kuisha hii imatokana na ripoti kutoka katika mtandao mmoja unaohusisha filamu nchini india




kajor katika pozi

kila siku members wangu wananiambia we need to know you your phical appearance and we need you face please

hapa nilikua geto nimelala si akanipigia zay akaniambia she want to know me
but you have to know that ilove zay so much that is why i do that i did
 sijali sana nilikua naona aibu kupiga picha hata kama nilikua mwenyewe


kama walivyo sema lakini jamani sipendagi kuuza sura ndoi mana sina picha achilia mbali za kwangu za blog hata home huwa sina utaratibu wa kupiga picha ila jana kuna mtu muhimu sana kwangu anaitwa zaina kichungo from dsm for sure she make me do that u  see nimeamua kuwaka picha zangu ambazo nimepiga na simu yangu ya mkononi ila du mh.. oke say steve baada ya kuniview...
nilitamani nisipige ila wadau wanahitaji si jinsi kwakua nipo kwa ajili yao
usihanae nilikua katika mavazi tofauti kwakua nyingine nimepiga leo asubuhi wakati nimetoka kuamka

Wednesday, August 18, 2010

jiji la tanga limeingia kwenye mchakato wa usafi

usafi ambao umefilisi walio wengi hasa watu walio na kipato cha chini akina mama wamevunjiwa magenge yao na mgambo wa jiji vijana ambao ni nguvu kazi wamefukuzwa ktk sehem zao za kibiashara na imewatia katika umaskini kwani wengi wao wapo mjini kwakutegemea biashara ambazo tayari wengi wao wamefilisika na kuwepo na hatari ya kuibuka wimbi la wizi kutokana na vijana wengi kukosa ajira

hizi ni baadhi ya picha zikionesha jiji la tanga katika maeneo ya bandari jijini tanga

ikiwa leo ni ramadhani 7 [chungu cha saba] bado tupo kihabari zaidi ya kawaida


 
ninayo mengi kuhusu indian movie ambazo kwasasa wasanii wengi wa movie india nao wanafunga hivyo wasanii hao wanaofunga wampunzika kucheza movie kwakua waona kunaweza kukatokea mambo mengi kama kulazimika kukiuka maadili ya dini wakati wanacheza movie wasanii hao ni akiana shilpa shetty , sunil shety. salman kahn na wengineo wengi ambao ni waislam